Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
kweli?
Naam kaka binamu.
kweli?
Du !Habari wadau MMU
Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!
Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k
Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.
Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.
Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu
Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.
Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.
Mkuu chakii wikiendi imepita, tusingependa ku-conclude yaliyotokea, tukitilia maanani comment ya member huyu.Du !
Ni wewe yule uneyesali Mbezi Luth Church?
Msalimie Muro na ubarikiwe!
Umefikisha salamu zangu?Amina ubarikiwe pia.
Hebu nipe tafsiri halisi ya Umalaya maana naona umeamua kuanzisha League