Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,803
Reaction score
29,434
Habari wadau MMU? Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!

Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k! Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu. Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.

Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.
 
Labda nikutakie kisonono chema tuu ndugu, maana umeambiwa uache umalaya na zamda geuka ukakataa.
 
Last edited by a moderator:
Labda nikutakie kisonono chema tuu ndugu, maana umeambiwa uache umalaya na zamda geuka ukakataa.

Eti mtu anajisifia kwenda kugegeda wanawake 3. mwambie mkuu atakata roho kabla ya mda wake
 
Last edited by a moderator:
Labda nikutakie kisonono chema tuu ndugu, maana umeambiwa uache umalaya na zamda geuka ukakataa.

Hebu nipe tafsiri halisi ya Umalaya maana naona umeamua kuanzisha League™
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau MMU

Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!


Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k


Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.

Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu


Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.



Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.

Unapenda kuchovya eeeehh!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom