Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Huna jipya. Unatafuta mtu aliyechoka akutukane basi uine raha.
Mimi sitokupa ya moyoni ila tu ni kuwa umrudie muumba wako
 
Huna jipya. Unatafuta mtu aliyechoka akutukane basi uine raha.
Mimi sitokupa ya moyoni ila tu ni kuwa umrudie muumba wako

Kama umechoka na wewe ruksa kutukana.

Keyboard ni yako, Just type chochote utakacho.
 
Mkuu mbona wantisha tena?

Nahitaji ushauri wako"

Ushauri gani!!! Vipo vya kushauri lakin c ujinga kama huo wako maan mtu mwenye ajili timamu awezi omba ushauri kwa suala la kipuuzi kama hili
 
Kumbukumbu La Torati 28 :15

Habari wadau MMU

Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!


Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k


Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.

Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu


Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.



Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.
 
Ok drop it then do your own dude!!

Sure mind u I do beneficial works , giving advises to those in need and not to ppl like you.
No more words and if u a rational obviously u will do the same but if irrational we will see
 
Sure mind u I do beneficial works , giving advises to those in need and not to ppl like you.
No more words and if u a rational obviously u will do the same but if irrational we will see

Non requested for your advice!
 
Kumbukumbu la Torati 28 : 15
na sio Kutoka

Biblia inasema hivi;

15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.

Note: Bwana asema sikia sauti yake
Mkuu tushushie hiyo verse, bible zipo mbali kidogo
 
Maninah aisee mtoto yeyote wa kiume anaejisifia uzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom