Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Huenda na wewe ulikua kwenye foleni sasa foleni yako imefika wee wapange tu kama wao walivyokupanga
 
Habari wadau MMU

Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!


Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k


Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.

Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu


Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.



Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.

unataka watu wakushauri ujinga?
 
Wingi wa mademu sio kipimo cha ulijari....
Kama mwanaume kweli hakikisha home hawaukosi ugali......by Nikki wa Pili
 
Tuzo hakuna ila nataka niwatendee haki mkuu.

Hakuna haki hapo! Unawalaghai wakijua wako peke yao and u call it haki??? Unajitafutia janga tu! Siwezi kumkosea Mungu kwa kukushauri upumbavu
 
Huenda na wewe ulikua kwenye foleni sasa foleni yako imefika wee wapange tu kama wao walivyokupanga

Haina shida mkuu na mimi ngoja niitumie zamu yangu!
 
We lazima utakua mtoto wa shule tu,maana hata unavyo andika ni kiuana funzi tu.

Mimi ni mwanafunzi tangu nizaliwe na ninajifunza mengi ndani na nje ya darasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom