Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

Niwapange vipi hawa viumbe, ushauri wako mdau

ULAANIWE KILA UENDAPO,UZINZI SIYO SIFA NZURI MBELE ZA
MUNGU.
Na "mshahara wa dhambi ni mauti"
Tarajia mauti,ukifanya dhambi hii.
 
ULAANIWE KILA UENDAPO,UZINZI SIYO SIFA NZURI MBELE ZA
MUNGU.
Na "mshahara wa dhambi ni mauti"
Tarajia mauti,ukifanya dhambi hii.

Wewe siyo Mungu mpaka utoe hukumu! Utalaaniwa wewe
 
Duhuuuuuu ?
Unaona umejipa majibu peke yako
Mademu unao watatu
Unataka watatu au demu mmoja.

Sasa cha kufanya wapange pamoja wajuane?
 
Duhuuuuuu ?
Unaona umejipa majibu peke yako
Mademu unao watatu
Unataka watatu au demu mmoja.

Sasa cha kufanya wapange pamoja wajuane?

Kuwapanga wajuane hilo haliwezekani na siwezi kufanya hilo kosa!
 
Habari wadau MMU

Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!


Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo
sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k


Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe
kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia
penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.

Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa
viumbe na jumatatu Nina safari wakuu


Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja
apate dozi yake.



Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban
zisizo na msingi.

oh God bless these young under age boys of tanzania.
 
Ninachokiona kwa muomba ushauri ni hiki: AMEOMBA USHAURI AKIWA AMEJIANDAA KUJIBU BADALA YA KUJIANDAA KUELEWA ANACHOSHAURIWA...kwa sababu hiyo ushauri wangu kwako ni TENDA VILE DHAMIRI YAKO INAKEULEKEZA....!!!!
 
Habari wadau MMU

Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!


Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k


Wamekuwa wakinizungusha sana kutoa penzi kiasi cha kujihoji mwenyewe kwamba nimemkosea nini Mungu wangu ilhali U-handsome na umateumate upo.

Sasa Jana nimewasiliana na kila mmoja Mungu mkubwa wamekubali kunigawia penzi mtoto wa kiume mimi wikiendi hii.

Hii fursa nisingetaka kuipoteza ukizingatia wameninyanyasa sana hawa viumbe na jumatatu Nina safari wakuu


Nasubiria ushauri wako niwapange vipi ndani ya wikiendi hii kila mmoja apate dozi yake.



Mizaha na matusi hayana tija bora ukatulia tusije sababishiana Ban zisizo na msingi.

Kwa sababu unaonekana kumshirikisha Mungu kwenye thread yako basi fuata yale Mungu anayoelekeza ie ikimbie zinaa.
 
Je huoni sasa kama unazidi kuitesa nafsi yako ? Madem 3 hutaki wajuane muda wote wewe ni mtu wa wasiwasi unapokua na mmoja hasa getho
 
Mungu ni wa rehema sana, sio kwamba haoni dhamira yako chafu bali anakupa nafasi umrudi la si hivyo tarajia adhabu kali,kama ni kuambiwa ushaambiwa sasa endelea jidai kichwa ngumu utaona matokeo yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom