Usidanganyike na wingi wa watu kwenye mikutano.Unajua Dkt Slaa ana mtandao mkubwa wa mavuvuzela wanaompigia debe kama wewe hapo.Hivyo watu huamua kwenda kumuona tu si kwamba wanampenda.Mwishowe wengi huishia kama mimi baada ya kumsikia porojo zake za ufisadi kumbe fisadi ni yeye mwenyewe.Sasa kama Dr. Slaa hachaguliki kwa kundi kubwa la wapiga kura, woga wako wa nini ? Kama si mwadilifu kwa nafsi yake na hawaheshimu watu wanaomzunguka, hao wanahudhuria mikutano yake wanafuata nini ? Kwa nini mtu kama huyo asiye na elimu wala sifa , asiyechagulika na mpayukaji anakunyima usingizi, kwani atajichagua mwenyewe ?
Mwanetu,Mimi nabisha Kikwete kuchaguliwa tena kuwa Rais. Uchaguzi ungekuwa kati ya vyama vya upinzani tu,kwamba watu waichague CCM ambapo hakuna mgombesa wa upinzani. Kuhusu wabunge ,sijapata muda kufikiria,lakini kuhusu Urais,Kikwete hafai kuwa Rais. Nyani ukimtazama usoni huwezi kumuua. CCM inapaswa kuondolewa tu bila huruma,kwa sababu CCM haijaoyesha huruma yoyote kwa wananchi.
Labda mimi ni biased kwa sababu sioni kwamba CCM imenisaidia kitu chochote,kwa sababu ninazo dollar mia tu katika account yangu ya CRDB.
Usidanganyike na wingi wa watu kwenye mikutano.Unajua Dkt Slaa ana mtandao mkubwa wa mavuvuzela wanaompigia debe kama wewe hapo.Hivyo watu huamua kwenda kumuona tu si kwamba wanampenda.Mwishowe wengi huishia kama mimi baada ya kumsikia porojo zake za ufisadi kumbe fisadi ni yeye mwenyewe.
Lazima nikose usingizi.Najiuliza mtu kama huyu akiingia ikulu itakuwaje.Ni balaa tupu baada ya balaa!.
Nashukuru ndugu yangu lakini mie naona JK badi anastahili hiyo nafasi ya Urais,Lipumba sawa ni msomi mzuri lakin katika usomi wake huo umekua hauna manufaa kwa Taifa letu,niulize kwa nini??Alishawahi kuwa mshauri wa Mstaafu Rais alhaji Ali Hassan Mwinyi lakin alishindwa kulipelekea Taifa hili kuyumba kiuchumi na akaondolewa,si hayo tu pia alichukuliwa kuwa mshauri wa Rais Y.MUSEVEN Kama mshauri wake lakini pia huko jitihada zake hazikufikia kiwango akarudi nchini....Hivyo basi mi naona JK bado anatufaa sana
Umeuona ukweli unaoongezeka kadiri oktoba 31 inavyokaribia.Huyu mtu ni afadhali ajitoe.slaa bado mchanga kwenye siasa bora hata lipumba...ccm wataongoza the next 5 yrs ambapo slaa atakuwa amekua
Mwambie na Slaa ajiangalie ataishi vipi baada ya oktoba 31.Atawaangaliaje mashabiki wake akina wewe.Leo nimesikia kumbe ni muuwaji mzowefu.Angalieni na akina nyinyi baada ya matokeo kutolewa na Kikwete kuwa juu.Puresha inapanda inashuka. Fainali ni 31Oktoba, wiki mbili kuanzia leo.
Kikwete na familia yake wajiandae kuondoka Magogoni ili wakapumzike kwa amani huko kwenye makasri waliyojipatia kwa wizi wakijiandaa kukumbana na sheria walizoshindwa kusimaia wakati wakiwa wakazi wa Magogoni.
hamna mtu mnafiki kama Prof. Mapumba na kuhusu uaminifu huyo Prof. Mapumba si alikuwa na kashfa ya kutembea na Georgina Mtenga kipindi alipokuwa Prof. UD na Georgina mwanafunzi au unadhani watu hatujui uasherati wake? Au uislam unaruhusu hayo ustaadh? na huo uchumi unaomsifu nao mbona CV yake si nzuri alikuwa mshauri kwa Mseveni na Ali Hassan Mwinyi mbona hatukuona mabadiliko kiuchumi na kote huko alitimuliwa!Kufikia hatua ya kuteuliwa kugombea uraisi si kipimo cha ubora wa mgombea.Mara nyingi hatua hiyo hufikiwa kutokana na kubebwa na vyama tu, ambavyo navyo si kipimo cha akili za wananchi bali matakwa ya kimfumo unaotawala ulimwengu kwa sasa.
Mbali na kampeni za uchaguzi zinazoelekea ukingoni kutoa mielekeo ya nani anafaa zaidi kukabidhiwa uongozi wa nchi.Ufuatao ni uelewa wangu kuhusiana na wagombea watatu wa nafasi hizo.Hao ni Ibrahim Lipumba,Jakaya Kikwete na Wilbroad Slaa.
Mimi binafsi kwa nafasi hii namuamini zaidi Ibrahim Haruna Lipumba.Namuona ana elimu ya mambo ya kiuchumi ambalo ndilo tatizo sugu la watanzania.Ana uchangamfu wa kiuraisi na huzungumza kwa hekima.Wale wanaompinga si kutokana na kukosa sifa bali sababu nyengine ambazo ikibidi nitazitaja baadae.
Jakaya Mrisho Kikwete ni mkweli katika utekelezaji wa ahadi zake.Hata hivyo amezungukwa na wajanja wengi wa hapa ndani ya nchi na wale wa nje ambao mara nyingi huwa wanaingilia maslahi ya watanzania na hata kumzonga ili asitekeleze baadhi ya ahadi ambazo ziko ndani ya uwezo wake.
Wilbroad Slaa.Nitakayoyasema juu yake hapa, najuwa si pahala muafaka.Lakini ukweli wa moyoni mwangu unanifanya nisiwe na chaguo jengine isipokuwa nimueleze kama nimuonavyo.CHADEMA kwa makusudi au kwa bahati mbaya wametuletea chagua ambalo lisingepaswa kuwa hivyo kwa wakati huu.Hana sifa za kuwa raisi.Fani ya eleimu yake hachaguliki kwa kundi kubwa la wapiga kura.Si muadilifu kwa nafsi yake na hawaheshimu watu wanaomzunguka.Ni mpayukaji.
Katika siasa kuna kudanganya huku kwa undani mtu anafanya vyengine kama alivyofanikiwa raisi wa mwanzo wa Tanzania;Julius Nyerere.Hilo ni gumu kufanikiwa kwa dkt Slaa.Zaidi ya ubunge aliokwishakuupata hastahiki kupata cheo cha juu na hata kurudia huo ubunge.
Chaguo linabaki kwa wagombea wawili,yaani Kikwete na Lipumba.Ili kuzuia hatari ya kushinda kwa dkt Slaa ambaye hana elimu wala sifa,nawashauri wapiga kura waangalie nani kati ya hawa wawili anafaa zaidi kupewa kura.
Yawezekana unayosema yakawa kweli.Sikia nikwambie!.Kila binadamu ni mkosa,na mkosa aliye bora ni yule aliyetubia.Hivi ndivyo uislamu unavyosema.hamna mtu mnafiki kama Prof. Mapumba na kuhusu uaminifu huyo Prof. Mapumba si alikuwa na kashfa ya kutembea na Georgina Ngatenga kipindi alipokuwa Prof. UD au unadhani watu hatujui uasherati wake? Au uislam unaruhusu hayo ustaadh?
Kufikia hatua ya kuteuliwa kugombea uraisi si kipimo cha ubora wa mgombea.Mara nyingi hatua hiyo hufikiwa kutokana na kubebwa na vyama tu, ambavyo navyo si kipimo cha akili za wananchi bali matakwa ya kimfumo unaotawala ulimwengu kwa sasa.
Mbali na kampeni za uchaguzi zinazoelekea ukingoni kutoa mielekeo ya nani anafaa zaidi kukabidhiwa uongozi wa nchi.Ufuatao ni uelewa wangu kuhusiana na wagombea watatu wa nafasi hizo.Hao ni Ibrahim Lipumba,Jakaya Kikwete na Wilbroad Slaa.
Mimi binafsi kwa nafasi hii namuamini zaidi Ibrahim Haruna Lipumba.Namuona ana elimu ya mambo ya kiuchumi ambalo ndilo tatizo sugu la watanzania.Ana uchangamfu wa kiuraisi na huzungumza kwa hekima.Wale wanaompinga si kutokana na kukosa sifa bali sababu nyengine ambazo ikibidi nitazitaja baadae.
Jakaya Mrisho Kikwete ni mkweli katika utekelezaji wa ahadi zake.Hata hivyo amezungukwa na wajanja wengi wa hapa ndani ya nchi na wale wa nje ambao mara nyingi huwa wanaingilia maslahi ya watanzania na hata kumzonga ili asitekeleze baadhi ya ahadi ambazo ziko ndani ya uwezo wake.
Wilbroad Slaa.Nitakayoyasema juu yake hapa, najuwa si pahala muafaka.Lakini ukweli wa moyoni mwangu unanifanya nisiwe na chaguo jengine isipokuwa nimueleze kama nimuonavyo.CHADEMA kwa makusudi au kwa bahati mbaya wametuletea chagua ambalo lisingepaswa kuwa hivyo kwa wakati huu.Hana sifa za kuwa raisi.Fani ya eleimu yake hachaguliki kwa kundi kubwa la wapiga kura.Si muadilifu kwa nafsi yake na hawaheshimu watu wanaomzunguka.Ni mpayukaji.
Katika siasa kuna kudanganya huku kwa undani mtu anafanya vyengine kama alivyofanikiwa raisi wa mwanzo wa Tanzania;Julius Nyerere.Hilo ni gumu kufanikiwa kwa dkt Slaa.Zaidi ya ubunge aliokwishakuupata hastahiki kupata cheo cha juu na hata kurudia huo ubunge.
Chaguo linabaki kwa wagombea wawili,yaani Kikwete na Lipumba.Ili kuzuia hatari ya kushinda kwa dkt Slaa ambaye hana elimu wala sifa,nawashauri wapiga kura waangalie nani kati ya hawa wawili anafaa zaidi kupewa kura.
Wewe ni mtu wa kudanganyika tu.Unadhani kwa kuitwa dkt.Slaa, huyu mtu wako ana elimu kuliko mimi niliyesoma madrasa!.Kama kweli ana elimu wala asingefanya madudu anayoendelea nayo.Mimi nadhani Ami anasumbuliwa na udini, Uislam, ushahidi ni hiyo avatar yako. Pia hizo waraka waislam wamekuwa wakitoa nadhani kuna kitu.
Conclusion yangu yangu ni kuwa:
1. Waislamu wako tayari kumpigia kura JK si kwa sababau si mchapa kazi bali tu ni muislam
2. Waislam ni watu hatari sana kwa kudhania kuwa hii nchi ni yao peke yao. Wasisahahu madudu aliyofanya huyo Firauni JK yanawaathiri wao pia. pia wasisahau kuwa mazuri yote yatakayoletwa na Prezida wetu Dr Slaa nao watafaidi pia. Acheni ughaidi!
3. Unafiki, kutoeleza ukweli wa mambo inaonesha mtoa mada hana elimu ya kutosha, nashawishika kudhani kuwa huyu jamaa kasoma madrasat, akajifunza kutumia computer ndo anaanza kuchangia humu. kwa Taarifa yako, Dr Slaa ana Shahada ya UZAMIVU (Philosophia Doctorae au PhD) na kwa elimu yake, wanasiasa wote presha inapanda, presha inashuka.
4. Mwisho, hakikisha 31.10 kura yako unampa DR SLAA.
HATUDANGANYIKI. VOTE FOR DR SLAA