Niwafanye nini watu hawa?

its a new day with new things and i have left everything behind me, afterall God is the only judge not me...
 

Love is blind
 
nashukuru dada yangu, si kwamba napenda kuingilia maisha ya baba yangu napenda awe na furaha ila natamani sana aoe mwanamke ambaye kidogo umri unaruhusu.

wewe mtoto huna adabu kabisa sheria ya ndoa binti anaruhusiwa kuolewa kuanzia miaka 15, mtume mwamedi alioa binti wa miaka 9 na alikuwa anakula mzigo kama kawa, je unataka baba yako akubanduwe wewe?
 
Polehhhh...hata me nishamfumania mdingi liveeee bila chenga na jirani flani hivi,nilipata kichefuchefu,sikuamini aisee....kiutu uzima i kept quiet mama hakujua hata robo hadi leooo ,na ye mzee hakujua ka nilimuona ila heshima kwake tangu siku hyo imeshuka vibayaaaa mno,haniambii kitu aisee,namsikiliza mama angu tu
 

hivi wewe mtoto wako wa kiume anaweza kuthubutu kusema nimemfumania mama yangu anabanduliwa?

kwa nini mnakosa adabu kiasi? sasa naanza kuelewa ni kwa nini kuna mtu hapa aliapa ksmwe yeye si kwambs tu hawezi kuoa single mother bali hata binti aliyelelewa na single mother, taratibu sasa naiona logic.
 
Huyo dingi ako alikuwa anamgonga huyo HG long time, muache aendelee kufaidi. Je angekugonga wewe na hayo romantic eyes?
 

Yani katika wengi walioongea wewe ndo naona naweza kukuelewa
 
hivi kweli jamani mfano wewe binti una miaka 25 unakuta baba yako anatembea na msichana wenu wa kazi mwenye miaka 17 au 18, hata kama ndio mama alishatangulia mbele za haki au lets say waliachana kwa tofauti zao wenyewe, kweli itakuwa sawa? au tunamshauri tu huyu binti kwa kuwa limetokewa kwake na si kwetu? labda kwa watoto wa kiume ndo wanaweza wakaona sawa, ila kwa sisi watoto wa kike ni hapana bwana, romantic eyesrme naona jinsi ulivyojisikia baada ya kugundua kilichotokea ni sawa hata mimi ingeniuma sana, huyu baba yako hakatazwi kuwa na mwanamke mwingine hata kuoa akitaka aoe lakini sio huyo msichana wenu wa ndani tena mbaya zaidi kiumri bado mdogo eyes
 

baba wee unapanic vipi hapo wakati baba ni wangu na mwenye uchungu hapa ni mimi,unataka kujifanya una hasira na uchungu zaidi yangu amaaa,???usinichosheeeee,mxxxyyy,and sijalelewa na single mother,baba na mama wote Mungu kanijalia,habari ndo hyo,kama mpo kina baba umu mnafanya yenu na mahousegirl ipo siku hata mtoto wako akijua au akimsikia mama ake analalama u will lose him/her for gooood......mwanaume unapojitia kidume kuchepuka better do it guest house ni ufala kufanyia nyumbani...
Nimesema live ili mjue mnaoshabikia mabeki tatu siku ukionwa na mwanaooo anaweza asiseme ilaa ndo hivo
 
pole nenda kwa ndugu yako yoyote kakae for sometimes kama wiki hivi alafu ndo urudi
 
Huyo babayako nae si mstaarabu angetakiwa kuheshimu uwepo wako.
Hata mimi hilo jambo lingeniuma sana. Na hg angenitambua kesho yake.
Yani ningèfanya kwa siri bila baba kujua.
Ningehakikisha anaona nyumba chungu!
 

ujinga ndio huu kwani nani amekwambia siyo baba yako? na kama ni hivyo kilichokuwasha wewe kuja hapa kushtaki kwenye mahakama ya umma ni nini?

tulia dawa ikuingie kama unataka kuishi dunia yako hama kwenye nyumba ya baba yako nenda kapange fanya maisha yako.

soma biblia ikuongoze badala ya kukata viuno na kupayuko bure, wale watoto waliomcheka baba yao alipolewa na kuna na yule ambaye slimsitiri baba yake.

Hivi wewe na mungu ni nani mwenye akili? hivi unajuwa kwenye biblia ni nani alizaa na mjakazi wake?

je unajuwa kizazi cha nuhu mabinti zake walimpa pombe baba yao ili alewe na baadaye walimbaka baba yao?

hivi mnapoleta mada hapa jf mnategemea huu ni mtandao wa vilaza ugongewe like na kusapotiwa ujinga tu?
 

!
!
busara sana.....natumia simu ningekugongea like za kutosha. Thumb up.
 
Babu @aspirin nahisi atakuwa na expirience za kukutwa hadi na wajukuu wake.... kuja huku mkuu kutoa ushauri...
 
Hata baba yako akikosea ni vibaya kumvua nguo( Actually if you look at it long enough, it is a curse).
Wewe si wa kumkosoa, hata kuongelea suala hilo. Waache wakubwa waliongelee. Mi ningekushauri umuombe mungu wako na hilo suala litarekebishwa. Its so not your position to have anything to do with it. Hata kama anachofanya baba ni kibaya, two wrongs do not make a right. Don't undermine the house girl either for if she has slept with your father, she is spiritually your mother.
 

frankly speaking atakayemuoa huyu ni timer bomb ndio wale wale frola mbasha style.

hivi mtoto wa kike kumuonea wivu baba yako ukiambiwa alikuwa anakutafuna utabisha?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…