Kiranja wa Kijiweni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 582
- 1,045
Napenda kutoa mifano hai/halisi kwa lengo la kutoa hamasa na uvumilivu.Soma vizuri boss bandiko langu Sina lengo la kuua mtu na Sina roho hiyo.
Ni kweli Kuna kujisahau..lakini si tuambiane ndo ulete madharau??
Afu ukizungumzia MALI ...nikwambie tu hakuna kitu chochote tunachomiliki Cha kutishia kutoa uhai WA mtu...Sina shida hizo!! nikwambie tu ni Kati ya wale wanaume wabinafsi ,wachoyo,mwingi WA mipango utekelezaji ZERO... Huwa haoni makosa yake siku zote yeye ni malaika baada ya Kuona watoto wangu watakuja kuteseka nilimshawslishi kununua eneo kwa kutoa PESA yangu 90% na ,10% zilizobaki nilimwachia amalizie yeye.. na Bado Ada za watoto tunalipa pamoja na baadhi ya vitu vingine nanunua,sometimes Hadi matibabu ya watoto, wadada WA kazi nalipa mwenyewe..na Bado akikwama Mahali namsapoti... Haya unaongelea MALI GANI HAPO MKUU? Mambo ni mengi muda machache..!!
Inasikitisha sana.Hallelujah!
Amini amini nakuambia huyo mwanaume ukimpeleka Milembe kupimwa akili wanamkuta timamu kabisaa, hana kichaa. Ni ubinadamu tu mkuu. Tunatofautiana uwezo wa kudhibiti hasira. By the way, siungi mkono ila mimi ni mhalisia.Kupigana na mwanamke tena mke wako mwenye mtoto mchanga??.. Kichaa pekee ndo anampiga mwanamke mwenye mtoto mdogo
Cheating is a choice sio mistake bibie....hata usihangaike na unachokiwaza hakuna hela utapata zaidi ya dharau uzidi kuumia....na wewe ndoa gani hiyo ulienda kujioza bila kwenu kujua? Na je mahari pia ulimsaidia kulipa? Kama umeamua humpendi fanya mambo yako taratibu ujidhihirishe kutoka moyoni mwako kuwa umeamua bila shuruti kuwa single maza na utaweza......watoto watatu sio mchezo kuwalea peke yako ghafla tu ivi unless ulikuwa unawahudumia mwenyewe toka mwanzo japo watoto sio sababu ya mwanamke kuendelea kuteseka kwènye ndoa....na hayo sio mateso by the way ni wivu tu....ungejaribu kuwa na mambo yako bila kufuatana fuatana, mkumbushe tu majukumu yake ila usimgande as if bila yeye hupumui, puuza dharau zake ila muheshimu tu kama mume ( kama kweli ni mume alikuoa peke yake bila support yako kumsaidia kutoa mahari😀)
Hayo huwa ni mapito

Hayo huwa ni mapito tu

Hapana kwakweli MAHARI ALITOA mwenyewe.. yaani tulifanya vile ili iwe rahisi kupata uhamisho kazini kwa KIPINDI hicho tulikua mikoa tofautiCheating is a choice sio mistake bibie....hata usihangaike na unachokiwaza hakuna hela utapata zaidi ya dharau uzidi kuumia....na wewe ndoa gani hiyo ulienda kujioza bila kwenu kujua? Na je mahari pia ulimsaidia kulipa? Kama umeamua humpendi fanya mambo yako taratibu ujidhihirishe kutoka moyoni mwako kuwa umeamua bila shuruti kuwa single maza na utaweza......watoto watatu sio mchezo kuwalea peke yako ghafla tu ivi unless ulikuwa unawahudumia mwenyewe toka mwanzo japo watoto sio sababu ya mwanamke kuendelea kuteseka kwènye ndoa....na hayo sio mateso by the way ni wivu tu....ungejaribu kuwa na mambo yako bila kufuatana fuatana, mkumbushe tu majukumu yake ila usimgande as if bila yeye hupumui, puuza dharau zake ila muheshimu tu kama mume ( kama kweli ni mume alikuoa peke yake bila support yako kumsaidia kutoa mahari😀)
Hayo huwa ni mapito tu
Naona maneno magum sana🤣Dah!
Mno!Inasikitisha sana.
😄Wanaume ni watakatifu, hamkoseagi,ndoa ikizingua ni upumbavu wa mwanamke😂😂😂
Hii stori inasikitisha sana jamani, polenii. Ila haya mambo ya watoto kushuhudia mama zao wanateseka inatakiwa hii cycle sisi wa sasahivi tuikate tuiondoe,sio watoto wetu nao wanakuja kusimulia eti walimuona mama yao akiteseka. Sisi wazazi wa sasahivi,tulee vijana wetu wa kiume kwa namna ambayo watakuwa waume bora kwa wake zao pia watoto wetu wa kike wawe wake bora. Zaidi sana na watoto wetu wa kike tuwaandae wawe vizuri kiuchumi, mwanamke anayevumilia mateso na maumivu ni ambaye hayuko vizuri kiuchumi.Napenda kutoa mifano hai/halisi kwa lengo la kutoa hamasa na uvumilivu.
Tukio kama hili limetukumba Familia yetu.
Mimi ni mmoja ya Watoto sita kwa mama yetu ambaye ni mke mkubwa.
Enzi hizo Usukumani (Kahama) au hadisasa mwanaume akiwa na Ng'ombe ni fahari kubwa na jamii inamu term kama mtu aliyefanikiwa maishani.
Ni mtoto wa pili kati ya hao sita na wote tupo hai, Asante Mungu.
Mama yetu alipitia kipindi kigumu sana katika malezi yetu, Bibi mzaa mama RIP alimshauri asijaribu kuondoka kwenye Familia yake mbali apambane atulee na tupate elimu.
Mama ametufanya wote tukapata elimu, Brother (Mining Engineering by Professional) amejiajiri anamiliki maduka makubwa mjini DSM, ana mjengo Kigamboni safii kabisa.
Mimi second born nina kazi yangu safi Mkoani Dodoma tena ni moja ya Management team katika Taasisi ninayofanyia kazi at below 30YRS tu.
Third born ni a boy, ni Mining Engineering by Professional amejiajiri anafunga na analima mkoani Geita, dogo below 27 YRS ana minimum mtaji wa 200M.
Fourth born ni a boy, ni a Secondary Teacher by professional, yupo Handeni Tanga ana ajira yake safi serikalini.
Watano na wa mwisho bado wapo shule.
Tumekua tukiona mama ananyanyapaliwa, chozi la Mama limetupa Baraka na Neema sisi watoto wake.
Tunamshukuru tumeweza kujitegemea na tunashirikiana.
Mama angelikata tamaa may be tugelikuwa machokoraa, tugekuwa vijana wabaya.
Sipo hapa kujisifu natoa ushauri usijaribu kuacha watoto wako Dada yangu pambana hadi mwisho Mungu atakulipia chozi lako.
Ni vyema wengine waweke tint😂😂😂.Mno!
Wanaume wenye mawazo kama yako sijui ni asilimia ngapi kwenye jamii yetu. Wengi wanataka ule mfumo wa zamani wa kumkandamiza mwanamke uendelee, wanawake nao tumekataa kuteseka kama walivyoteseka bibi zetu na mama zetu,kimbembe kipo hapo😂😂😂😄
Women are no less of a human than men, na wao wanaumizwa na almost mambo yaleyale yanayomuumiza mwanaume, na wana tamaa vilevile kama wanaume tu.
Hili la kuwakandamiza wanawake wakatulia lilikua enzi zile hawapo kwenye nafasi za ajira, sio sasa kipindi ambapo wanawake wanajiweza kiuchumi.
I can see men we've played a very big part in recent women's revolt.
50/50🥹🥹🥹.😄

Nimelia sana😭Napenda kutoa mifano hai/halisi kwa lengo la kutoa hamasa na uvumilivu.
Tukio kama hili limetukumba Familia yetu.
Mimi ni mmoja ya Watoto sita kwa mama yetu ambaye ni mke mkubwa.
Enzi hizo Usukumani (Kahama) au hadisasa mwanaume akiwa na Ng'ombe ni fahari kubwa na jamii inamu term kama mtu aliyefanikiwa maishani.
Ni mtoto wa pili kati ya hao sita na wote tupo hai, Asante Mungu.
Mama yetu alipitia kipindi kigumu sana katika malezi yetu, Bibi mzaa mama RIP alimshauri asijaribu kuondoka kwenye Familia yake mbali apambane atulee na tupate elimu.
Mama ametufanya wote tukapata elimu, Brother (Mining Engineering by Professional) amejiajiri anamiliki maduka makubwa mjini DSM, ana mjengo Kigamboni safii kabisa.
Mimi second born nina kazi yangu safi Mkoani Dodoma tena ni moja ya Management team katika Taasisi ninayofanyia kazi at below 30YRS tu.
Third born ni a boy, ni Mining Engineering by Professional amejiajiri anafunga na analima mkoani Geita, dogo below 27 YRS ana minimum mtaji wa 200M.
Fourth born ni a boy, ni a Secondary Teacher by professional, yupo Handeni Tanga ana ajira yake safi serikalini.
Watano na wa mwisho bado wapo shule.
Tumekua tukiona mama ananyanyapaliwa, chozi la Mama limetupa Baraka na Neema sisi watoto wake.
Tunamshukuru tumeweza kujitegemea na tunashirikiana.
Mama angelikata tamaa may be tugelikuwa machokoraa, tugekuwa vijana wabaya.
Sipo hapa kujisifu natoa ushauri usijaribu kuacha watoto wako Dada yangu pambana hadi mwisho Mungu atakulipia chozi lako.
Legelege namba moja nipo hapa naomba kupewa tuzo yangu tafadhali.Ungesoma kile kitabu MEN WILL ALWAYS BE MEN unetumia muda wako kuandika haya, kile kitabu ni suluhu ya mambo mengi wanayoyadekea wanawake walioolewa.
Kumbuka mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ndio ina miaka 10, mwanaume amexhepuka miaka 4 ya mwisho, hiyo miaka sita hkuwa anachepuka. Je kwa nini?
Yaani mumeo kuonja nje - na yaeezekana wewe ndio chanzo kwa kuwa hujaeleza madhaigu yako unakimbia mji.
Wanawake wa zama hizi ni legelege sana, tena sana! Yaani inashindwa 'kumtunishia' mwanamke mwenzako na kumtimua
Sikia la mama, Hapo hamna kukimbia ndoa and ondoa wazo la kisasi. Cha msingi muonyeshe kwamba amekosea na muyazungumze kwa kuzingatia ukuaji na ustawi wa watoto wenu...
Asante sana kwa ushauriUshahidi ulionao tayari umekupa jibu ulilokuwa unalitafuta. Sasa usifanye kosa la kugeuza maumivu yako kuwa vita ya kulipizana.
Kama kweli umefika hatua ya kusema “SIMTAKI TENA”, basi ondoka kwa heshima na mpango, si kwa kulipiza kisasi. Usimtese huyo mwanamke, usimtese mume wako, na usianze michezo ya kuwachukulia hela kwa lengo la kuwaumiza. Mwisho wa siku unaweza kujikuta wewe ndiye umeingia kwenye matatizo mapya wakati wao wanaendelea na maisha.
Kama unataka wajue kuwa umejua, huhitaji drama kubwa. Unaweza kumwambia kwa utulivu:
“Nimejua kuhusu mahusiano yako. Sina haja ya mabishano wala maelezo. Nimefanya uamuzi wangu kuhusu maisha yangu, na muda ukifika utauelewa.”
Kisha songa mbele. Usimpe nafasi ya kukuchokoza, kukugeuza mwenye hatia au kukurudisha kwenye mabishano yasiyoisha.
Miaka 10 ya ndoa, watoto, kupuuzwa na hata tukio la kupigwa si jambo dogo. Kama umeamua kuondoka, tumia nguvu uliyonayo sasa kujenga maisha yako, biashara yako na amani yako.
Kisasi kikubwa zaidi si kumtesa mtu; ni kufika siku ukakumbuka yaliyokupitia bila tena kuwa mateka wa hasira zake.
Na kama kuna historia ya ukatili wa kimwili, hakikisha mpango wako wa kuondoka unakuwa wa usalama kwanza—usiutangaze mapema kama unaona unaweza kuwekwa hatarini.
Sasa si mnaenda wenyewe kwanini msilogwe?😁Hapana Too face huyo ndio mwanaume wako pambana arudi huyo ni wako, wanawake wenzio nao wanatuloga sana skuizi tukichepuka tunazama mazima.
Simama kidete na ndoa yako na hizo sms watumie na uzifute otherwise utakuja kuliwa/au ushaliwa kizembe sana.