Niwafanye nini hawa watu..?

Asante kwa kupokea ushauri wangu mwali.
Naomba nikushauri hivi....
Kwanza achana pia kemea mawazo mabaya juu wa Mr wako.
Pili tengeneza muda wako na ungeanae taratibu pia muhakikishie kwamba umefaham yote anayo kutendea.
Mwambie haupo tayari kuishi kwenye ndoa inayokupa maumivu na mueleze madhara yanayoweza tokea ikiwa mtatengana.
Mimi naamini kwamba mume wako anakupenda zaidi ya wote unao wahisi anawakula.
Naamini ukiongeanae pasipo ugomvi tayari utakua umemtafuna na kumpa maumivu kisaikolojia, zaidi ukiwa mtulivu itamfanya awaze zaidi.
Mwambie taratibu kwamba niyeye amekufanya upunguze upendo kwake na hata umepotea ham ya kukulana nae ingawa hauwezi kumnyima kwakua ni kumeo.
Kupigwa mkumbushe na mwambie bado unakumbuka maumivu aliyo kuumiza na hakika haukupendezwa.
Mwambie unaipenda familia yako na unaomba ajirekebishe.
Pia.....acha kushika sim ya mumeo ili kuitengeneza amani moyoni mwako.
 
kwa nn umuachie watoto?,sidhani kama ni wakubwa kiasi cha kuweza kujisamamia
 
Mama Vumilia kwenye Familia yako/ndoa yako.

Wanaume tumeubiwa tamaa, hakuna mwanaume ambaye hana tamaa.

Endelea ku focus na Kazi, Biashara na Watoto wako.

Usithubutu kuondoa, Watoto wako watateseka, hawatapata upendo wa Baba na Mama kwa pamoja.

Usukumani, unakuta digii ana wake wanne hadi sita lakini hutasikia Mama kaacha watoto wake.

Baki kwenye ndoa yako watoto wako wapate malezi bora na future iliyobora zaidi.
 
Mwanamke wangu hawezi ondoka na watoto wangu kamwe wakalelewe na msimbe.

Mimi nimefurahi nilipoona unaacha watoto,we kwenda zako,kafie mbele Maza fanta.
 
Siyo kweli, wanaume tunarizika Sana na mbunye moja. Wewe kama ni kicheche usisingizie wanaume wote
 
Shida ya wanawake ni kuhesabu makosa ya wanaume! Unaweza kuta huyo mwanaume kafanya mambo mengi mazuri ila anahukumiwa kwa hayo makosa 2 tu, sasa umezeeka unaachana na ndoa ili ukawe mchepuko wa mtu? Halafu bado hatujajua upande wako ulikuwa unakosea wapi? Matatizo ya ndoa yanamalizwa na wana ndoa wenyewe kakae na mumeo m
 
Soma vizuri boss bandiko langu Sina lengo la kuua mtu na Sina roho hiyo.

Ni kweli Kuna kujisahau..lakini si tuambiane ndo ulete madharau??

Afu ukizungumzia MALI ...nikwambie tu hakuna kitu chochote tunachomiliki Cha kutishia kutoa uhai WA mtu...Sina shida hizo!! nikwambie tu ni Kati ya wale wanaume wabinafsi ,wachoyo,mwingi WA mipango utekelezaji ZERO... Huwa haoni makosa yake siku zote yeye ni malaika baada ya Kuona watoto wangu watakuja kuteseka nilimshawslishi kununua eneo kwa kutoa PESA yangu 90% na ,10% zilizobaki nilimwachia amalizie yeye.. na Bado Ada za watoto tunalipa pamoja na baadhi ya vitu vingine nanunua,sometimes Hadi matibabu ya watoto, wadada WA kazi nalipa mwenyewe..na Bado akikwama Mahali namsapoti... Haya unaongelea MALI GANI HAPO MKUU? Mambo ni mengi muda machache..!!
 
Kwa maelezo hayo hakuna kitachobadilika hapo, ni aidha kila mtu aangalie upande sahihi kwa mustakabali wa maisha yao na familia yao kwa ujumla.
Some people change. Ushauri wa maana ni wazungumze kwanza. Huenda tatizo linarekebishika.
 
Hii sio sawa! Ilifanya kazi kipindi cha nyuma coz wanawake hawakuwa na uwezo wa kujitegemea ila sio sasa.

Ndio maana ndoa now ni kipengele.
Kwenye jamii yetu bado inafanya kazi,mfano mzuri baadhi ya comments kwenye hii thread.
 

Pole sana, hapa niko nacheki tv show ya caught unfaithfully MTV
 
Upumbavu wake ni nini? Kushindwa kuvumilia usaliti?

Anashindana na mume kivipi? Kumpisha na kumpa uhuru aendelee na michepuko yake?
 
Hili la mazoea kwenye ndoa linawahusu wanawake tu?

Kwamba na sisi wanaume at no point hatumzoei mke na kuishi nae kimazoea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…