Niwafanye nini hawa watu..?

Dah tatizo nimechoka! Huwa haoni makosa,!! Siku zote yeye yupo sahihi.
Ok,always sisi wanaume huwa tupo sahihi zaidi yenu.

Jamal said”Niliwahi kumzingua wife na kumpeleka kwao lakini ukweli kosa lilikuwa ni langu,baadae alirudi na ndoa yetu tunaotunza iko poa tu,ingawa hadi sasa sitaki kuwa chini yake(Eti niseme nimekosea mke wangu).”

Hii inaonesha hata sisi tuko na mapungufu isipokuwa hatupendi kucharaziwa.

Cha kufanya bibie,jipe moja,kaza goroli zako na ulegeze kila kitu kwa ajili yake kwa sababu noway out,waulize wenzio waliopo juko nje je,wanaenjoy?
Na kama jibu ni La.
Ongeza jitihada ya kudumisha ndoa yako.

Mapungufu yapo na siwezi kupinga SISI WANAUME TUKO NA MAPUNGUFU,
Isipokuwa zingatia miaka yako kama mama wa familia,kila jambo linamwanzo na mwisho.

Natamani nikwambie TUULIZE SISI WATOTO TULIOLELEWA NA MZAZI MMOJA HALI TUNAYOIHISI HADI UKUBWANI KWETU.

Kama unahisi ni vyema kukata kamba ya mahusiano yenu,haina shida BASE ON. JF we love you Too face.
 
Nashindwa kuelewa....
Hili ni agizo sio ombi..ukiondoka ondoka na watoto wako plzzz...hatutaki kusikia watoto wamebakwa..watoto wamelatiwa...sijui wamepigwa mpk wamezimia na mama wa kambo...
Plz uliwazaa wewe na uwaleee usiwaache walelewe na mtu ambae hajawazaa wkt ww upo na una nguvu mpk ya kulipiza kisasi unashindwaje sasa kwenda na wanao? Utasema na baba yao awalee...ulishaona wapiiii...baba hawezi au la atafute dada wa kazi amsaidie...sasa why afike huko na ww upo...au unataka wanao wajute kuzaliwa na wewe..
 
Hao wanaojuta ni wale wasiojitambua thamani yao,najitambua thamani yangu,siwezi kujuta kuachana na mtu ambaye alikuwa ananifanyia kitendo cha kuniumiza kamwe. Hao wanaojuta waendelee kujuta tena ikibidi warudiane na waume zao, mimi nitoe humo. Huwezi kumuumiza mtu halafu ukamwambia unampenda, huo sio upendo ni unafiki.
 
Hii VAR umeenda kuifokonyoaje! Kitu cha 2017😂
 
Atumie mwili wa mwanaume aliyemuumiza??. Hivi mtu akikuumiza unaweza hata kuruhusu akushike mkono? Serious??. Kuna yale makosa madogo madogo ila mtu anipe mateso aliyompa huyu mdada halafu eti mwili wake uwe unanitoa uchovu!!!!.hizo hisia zinatoka wapi???
 
ondoka haraka sana

usisahau kubeba chaji ya simu na sabufa, mtoa ushauri sitaki vitu vingi
 
Inawezekana hata huko nyuma alikua mchepukaji mzuri tu sema sikumzingatia!! Usimtetee bana

Kuna muda mapenzi hayalazimishwi .. mwanamke mwenye watoto 3 Huwa haondoki kwake bila sababu boss wangu .

Vipi nimkamate nimpe mingumi??😁😃
Nguvu ya mwanamke ipo kwenye matumizi sahihi ya ULIMI.

Yaani kukaa kimya kwa utulivu na kuongea kwa hekima muda ufaao.
Nikiona mwanamke anabwatuka najua hiyo ni mental case.

Nipo ndoani miaka 10+, kuna scenario Mrs asingefungaga mdomo tusingekuwa somo la kuigwa na watu.

Usitarajie kuna mwanaume kama Yoseph (wa Yesu). Ndoa ni taasisi inayohitaji watu ngangari kwenye busara kuipigania. Legelege ndio hao kataa ndoa wote na baadhi ya wanawake wanaolipuka ktk maamuzi.
 
Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
Anyway! Kuandika hapa ni rahisi sana.
Kama unaweza kukaa kwenye mvua na usiloane, basi na hiyo hali utaweza.
Au unatarajia kutumia yale matakataka, ili hali unakula hela za 'wafadhili' - waume michepuko na kataa ndoa - bila kulipa fadhila
 
Mwanaume akomolewi wewe kama unaamua kusepa we sepa ukaafute malaika bora wa kukuoa kama unaona mmeo hakufai tena, sisi wanaume huwa tuna tamaa ya asili kaa ukijua ilo.... We tembea na usifikiri utamkoa lbda kama alikuwa anakupenda sana kuliko mama yake mzazi.
 
Huyu mleta mada ana ufala mwingi na utoto mwingi
 
Nipe namba ya huyo mwanamke wake ,tumfanyie umafia halafu umpige chini then tumsambatisha jamaa kwa huzuni kubwa
 
Hadi kufikia post ya #292, naamini utakuwa umepokea ushauri wa kutosha

Uchuje na ubebe ule ambao unadhani utakusaidia

Kumbuka mnapoachana/tengana watakaoteseka ni watoto wenu

Kwa Dunia ya sasa, hakuna mwanamke atakubali kuwalea watoto ambao sio wake, tena wanne

Hakuna aliyemkamilifu, hata sisi Wazee tumewahi kupitia changamoto za usaliti

Kilichotusaidia, miaka Ile hakukuwa na simu kusema utapekua kukutana na ushahidi

Ndiyo maana Wazee wengi, ilikuwa kabla hatujarudi majumbani kwetu, ilikuwa ni lazima kutanguliza Koti la suti ama hata mkongojo(fimbo ya kutembelea).

Ili Bibi zenu ikiwa walikuwa wana majambo yao, basi haraka sana wanajiweka sawa na wagoni wamekimbia kabisa

Mnahesabu mwaka 1, hadi miaka 60 ya ndoa

Barikiweni 🙏🙏🙏
 
Unajuaje kama alimpiga na kufungia ndani akiwa na mtoto wa miezi mitatu, huyu mwanamke anatafuta huruma za kuhalalisha maamuzi yake, et aende akaanze maisha bila watoto huyu pia hana huruma na watoto wake, ni mwanamke fala tu na mwenye kisirani.
 
Hivi kumbe hekima ilikuwa n hii ..... mzee wangu pia alikuwa akirudi safari atatoa taarifa mapema na akija utashangaa katanguliza vitu vyake, hata kama yeye atakuja jioni hiyohiyo 🤔🤔

Nilikuwaga sielewi mchezo kabisa 😂
 
hujui kama mke mmoja n mke mwenzio
 
Hivi kumbe hekima ilikuwa n hii ..... mzee wangu pia alikuwa akirudi safari atatoa taarifa mapema na akija utashangaa katanguliza vitu vyake, hata kama yeye atakuja jioni hiyohiyo 🤔🤔

Nilikuwaga sielewi mchezo kabisa 😂
Kwa kufanya hayo, ilikuwa ni nafasi ya mama kufanya clearance ili kama kuna mambo ya gizani alifanya, anajiweka sawa

Hakuna Mzee wa zamani angerudi nyumbani ghafla pasipo kutanguliza kimzigo/Koti ama chochote

Siku hizi na hizi simu zenu, watu wanakaguana hadi usiku wa manane 🙌

Kuna ndoa itadumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…