Niwachekeshe kidogo

Hahahahahaha



Kwahiyo mleta uzi ni sepuka tu?!
 
Mama sabrina huyo

Hakujua kama wewe unapenda kushikishwa shampen mkonon ana taka akakushishe viaz vitamu huko kanda ya ziwa

Kataa mwaya tena akiendelea kukushobokea mwambie utamsema kwa BEIRA BABY BOY
 
[emoji23][emoji23][emoji23],,,povu
 
Muulize aliyekuita wa kiume....


Labda uwe unaweka viungo vya kike kwenye thread zako ndiyo wakuite wa kike.
Pasua kichwa wewe,,eti niwe naweka viungo vya kike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake mna mambo za kijinga sana, mwanzo unaponda, siku ukitoa mpapa unasifia kama siyo wewe.

Sipendi wanawake wajinga wajinga wenye kung'ong'a watu wanaowatongoza huku pesa unapokea.
 
Mama sabrina huyo

Hakujua kama wewe unapenda kushikishwa shampen mkonon ana taka akakushishe viaz vitamu huko kanda ya ziwa

Kataa mwaya tena akiendelea kukushobokea mwambie utamsema kwa BEIRA BABY BOY
Eti kweli,,ndio maana mi nakupenda we muelewa sana bora angenipeleka kule baharini ulisema kuzuri ningeenda kushangaa eti,,sio kushikishwa manumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…