Nivunje vipi haya mahusiano?

Nivunje vipi haya mahusiano?

Jifunze kuwa Mwanaume kamili.....huu muda ambao unapitia changamoto za kifedha ndo muda mzuri wa kujua kuwa umepata mwanamke wa aina gani ndo wakati wa kupima mapenzi yake kwako kama atakuvumilia na kutokuonesha dalili za usaliti nakushauri huyo mweke ndani.

Unachotakiwa sasa hivi ni kumweleza mpenzi wako kuwa unachangamoto za kifedha hivyo kama atakuelewa na kukuvumilia mpk hapo hali yako itakapokuwa nzuri huyo ni mke.

Kingine na kushauri acha tabia za kugawa gawa pesa ovyo ukiamini ndo mwanamke atakupenda. Unaweza kumpa na yeye akawa anampelekea msela wake ambaye hana kitu lkn ndo hivyo demu kadata kwake, kwako nikukuchuna tu!

Kipindi unachopitia sasa kifedha kinakusaidia kujua type ya mwanamke uliyenaye

Sent using Jamii Forums mobile app
.......
Huu ndiwo ushauri uliotakiwa kutolewa na sio huo ujinga walioutoa wengine!
 
Unalalama tu.

Umeshakaa naye chini umueleze hali halisi ya kiuchumi unayopitia nakwann unaipitia?!?

Au unajishtukia??

Alafu kama unampenda kweli, ACHA UCHOYO...japo unabaki na kidogo, mfanye aamini kua mbali nahali ngum unayopitia ,bado Una onyesha moyo wakumjali na unamjali kwaicho icho kidogo ulichonacho.

Wewe kua na kidogo kusikubweteshe nakukupa sababu za kuhalalisha uchoyo wako wa kutomjali mpenzio .

Kidogo ulichonacho, mfanye ajue unamjali kwacho, mfanye hata mama yake ajue unajitahidi kumjali.

Ni hayo tu!!!!!......Dunia ya sasa usitegemee kupewa K usiyoihudumia .
Habari wakuu

Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30

Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa kuanza mahusiano na binti mmoja wa mtaa wa pili ambae kiukweli nafsi yangu ilimkubali sana tangu siku ya kwanza namuona hadi leo hii tulipo.

Lakini changamoto ni kuwa siku chache baada ya kuanza mahusiano yetu dadangu wa damu alipata shida kubwa ya kifedha ambayo kama nisingeingilia kati kuokoa jahazi maisha yake yangeingia doa sana kama mjuavo mambo ya mikopo yalivo,kwa hiyo nikalazimika kumkopea bank kiasi ambacho itanilazimu nikae mwaka mzima ndo nirudi kwenye mstari.

Sasa dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kwamba kiasi cha fedha kinachobaki baada ya makato ni kidogo sana kiasi kwamba nashindwa hata kumhudumia mpenzi wangu huyu ambae hana ajira na kwao anaishi na mamake tu nae ni maisha ya chini tu hawezi mtimizia binti mahitaji yake.

So mpaka sasa anaonesha kunivumilia sana ingawa naona kabisa kuna namna mapenzi yetu yamefubaa na hata yeye ile moyo wa kujitoa sana kwangu dizaini umepungua na simlaum kwa hilo

Kwa hiyo wakuu binafsi inaniuma sana na sina amani kabisa kuendelea na haya mahusiano maana me nna asili ya kujali sana na najihisi vibaya kwamba hata 50k ya kubaki kumsaidia mpenz wangu kwa mwezi inashindikana.

Mwisho naombeni ushauri njia gani bora ya kumuacha huyu dada bila kumuumiza?

Samahani kwa uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muambie maji yamkoregeka huna mpango wa kuoa karibuni na unataka break kutoka kwenye mahusiano uweze kufanya mambo yako ya maendeleo kwanza.
 
😂😂😂😂eti anakaa tako moja..

Sema sisi wanaume tukikosa pesa ni sawa na kuwa uchi aiseeh..yaani hadi mzuka wa kuongea ongea au kutembea tembea unakata kabisa..
Na hata gemu hataki hiyo siku. Atalala anageuka geuka usiku kucha.

Tafuteni tuu hela, mkizikosa mnaweza kufa siku si zenu.
 
Jifunze kuwa Mwanaume kamili.....huu muda ambao unapitia changamoto za kifedha ndo muda mzuri wa kujua kuwa umepata mwanamke wa aina gani ndo wakati wa kupima mapenzi yake kwako kama atakuvumilia na kutokuonesha dalili za usaliti nakushauri huyo mweke ndani.

Unachotakiwa sasa hivi ni kumweleza mpenzi wako kuwa unachangamoto za kifedha hivyo kama atakuelewa na kukuvumilia mpk hapo hali yako itakapokuwa nzuri huyo ni mke.

Kingine na kushauri acha tabia za kugawa gawa pesa ovyo ukiamini ndo mwanamke atakupenda. Unaweza kumpa na yeye akawa anampelekea msela wake ambaye hana kitu lkn ndo hivyo demu kadata kwake, kwako nikukuchuna tu!

Kipindi unachopitia sasa kifedha kinakusaidia kujua type ya mwanamke uliyenaye

Sent using Jamii Forums mobile app
Asipoelewa hawa basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mueleze ukweli na hali halisi kama ilivyo na umwambie nakupa uhuru wa kuchagua ikiwa utanivumilia au utaamua kuachana na mm yote ni matokeo ambayo sitakulaum

Alaf kaa pemben uone maamuzi yake maana hapo hakuna ujanja tena angalia tu usije ukajiingiza kwenye matatzo ya maden mengi kwaajili ya mpenz kabla tatzo la kwanza halijaisha[emoji41][emoji41]

Sent using Gun Trigger
 
Muambie maji yamkoregeka huna mpango wa kuoa karibuni na unataka break kutoka kwenye mahusiano uweze kufanya mambo yako ya maendeleo kwanza.
Nilimwambia akasema atanivumilia na pia nikajipa tumaini,lakini kaka kuna vitu naviona kabisa haviendi sawa na siwezi anza kaa na kumuuliza eti kwanini hanipi tena papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mambo ya ajabu mno yani umsaidie dada wa girlfried wako umkopee umlipie deni lake tena uyo girlfriend wako anajua kama ulimlipia dada ake ukisuasua kumudumia uyo girl wako unaumia roho ww jamaa unazingua ningekuwa mm sifanyi uwo ujinga nimkopee ndugu wa demu wangu ujinga uwo...

121.
 
Oooh sorry kumbe no dada ako wa damu nikajua dada wa demu wako..

121.
 
Na hata gemu hataki hiyo siku. Atalala anageuka geuka usiku kucha.

Tafuteni tuu hela, mkizikosa mnaweza kufa siku si zenu.
Ndo maana dadangu naomba ushauri ni njia gani bora nitumie tu kuua haya mahusiano maana najihisi mnyonge sana hata papuch sipewi tena since march imagine[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hofu zenu na inferiority complex tu mnajijazia.

Natamani mnngetoa ushuhuda wa namna tunavowawezesha majumbani. Hamna shukrani ninyi.

Halafu mnatuogopa sana wanawake tinaojitegemea na kuwazidi kiaina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehteh....mkuu sidhani kama kuna mwanamke anaweza kumlea mwanaume.

Kama upo jitokeze...sijawahi kuona huwa naskia kwenye vyombo vya habari tu kama hapa.
 
Mueleze ukweli na hali halisi kama ilivyo na umwambie nakupa uhuru wa kuchagua ikiwa utanivumilia au utaamua kuachana na mm yote ni matokeo ambayo sitakulaum

Alaf kaa pemben uone maamuzi yake maana hapo hakuna ujanja tena angalia tu usije ukajiingiza kwenye matatzo ya maden mengi kwaajili ya mpenz kabla tatzo la kwanza halijaisha[emoji41][emoji41]

Sent using Gun Trigger
Nilimwambia mkuu na akasema hamna shida tuko pamoja ila sasa yanayoendelea ndo yamefanya nilete huu uzi hapa,ingawa tunapochat heshima ipo kubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalalama tu.

Umeshakaa naye chini umueleze hali halisi ya kiuchumi unayopitia nakwann unaipitia?!?

Au unajishtukia??

Alafu kama unampenda kweli, ACHA UCHOYO...japo unabaki na kidogo, mfanye aamini kua mbali nahali ngum unayopitia ,bado Una onyesha moyo wakumjali na unamjali kwaicho icho kidogo ulichonacho.

Wewe kua na kidogo kusikubweteshe nakukupa sababu za kuhalalisha uchoyo wako wa kutomjali mpenzio .

Kidogo ulichonacho, mfanye ajue unamjali kwacho, mfanye hata mama yake ajue unajitahidi kumjali.

Ni hayo tu!!!!!......Dunia ya sasa usitegemee kupewa K usiyoihudumia .

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri ila kidogo najitahidi ila kwa kuwa hakitoshi nadhani ndo maana hata yeye kwa sasa ile mood ya mapenzi imebaki tu kwenye keyboard basi ila hom huu ni mwezi wa pili hajakanyaga na tupo mitaa jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehteh....mkuu sidhani kama kuna mwanamke anaweza kumlea mwanaume.

Kama upo jitokeze...sijawahi kuona huwa naskia kwenye vyombo vya habari tu kama hapa.
Usiongee usichokijua, wanawake kwenye ndoa wana mizigo sana, tRNA bora hata mwanaume awe hana shughuli ya kumpatia kipato, kuna wale wana kipato lakini hazijali zao
 
Nilimwambia mkuu na akasema hamna shida tuko pamoja ila sasa yanayoendelea ndo yamefanya nilete huu uzi hapa,ingawa tunapochat heshima ipo kubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kam anakuheshim shda gan ipo tena hapo au anatembea na mwanaume mwngne tofaut na ww ?

Sent using Gun Trigger
 
Back
Top Bottom