Nivunje vipi haya mahusiano?

Nivunje vipi haya mahusiano?

[emoji23]Dah! kwamba unajua live wanajivinjari na wanaume wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kati ya sehemu usizotakiwa kuweka vinyongo ni kwenye mapenzi....

Jiulize umewaita babe wanawake wangapi hadi kufikia leo? Hao hao wanawake ni wake za watu tena wenye heshima zao.

Wengine hadi mlikuwa mnapakana mafuta na kunyoana nywele za sehemu za siri....leo wake za watu.

Na mkeo sasa ananyolewa na mabaharia....kaza moyo maisha yaendelee baba.
 
Hewaaala.... eeeh ili twende sawa.....

Hii haiumizi saana kama mimi ndiye mwenyewe mwenye kitu.
Ila kiasili mwanamke ni mbinafsi hata kama anacho kitu(kazi) atataka uwe unampa hela na ni rahisi kukuacha hata kama wewe una kazi ila kama haumpi hela atakuacha...anaamini yeye ndo anatakiwa apewe...i.e unamnunulia gari ila hela ya mafuta atataka utoe wewe hapo na kazi anafanya...
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa usiwazeee sana wala kutaka kujua kwann anakunyima mzigo.

Mtoe kwenye wazo la kumuoa (hautaumia) alafu muweke kwenye 18 za kupiga pumbu tuu yaan hata kama anajamaa mwingine kwako nipoa tu ili.mradi siku anakuletea K unapigaaaaaaa.

Kisha anza cheza na akili yake ,hawa ni kama watoto , watoto wanapenda Hela na wanapenda Pipi ,...sasa kwakua hela ni changamoto, tumia PIPI , Utapiga nyapuuu mpaka useme asanteee nmeshiba.

Changanya uongo uongo na.maneno matamuu matamuu , mpige lugha ya Pichaa, akikaa aanze kufikiria miaka miwili ijayo akiwa nawewe kama mke ataenjoy sana , mpe pipi, mpe.maneno matamu... HACHOMOKI.

Amini nakuambia, ukiwa Baharia mjanja... utapiga Nyapu bila hata kutoa sumuni... wewe utakua unatoa Hela ya nauli tu kurudi kwao ,ila ndo ivo, lazima kitandani upige kwelikweli akitoka hapo anaikandaa na barafu.

Yaaan.namanisha ivi, ukiwa huna hela, hakikisha kitandani unapiga kwelikweli .
[emoji16]Ndio kaka,Me kikubwa ni hicho kwanini ninyimwe mzigo? ndo maana nimewaza kwamba bora ijulikane tu kwamba siko kwenye mahusiano kuliko baby baby za kitoto kupeana moyo kumbe nshatemwa siku nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kiasili mwanamke ni mbinafsi hata kama anacho kitu(kazi) atataka uwe unampa hela na ni rahisi kukuacha hata kama wewe una kazi ila kama haumpi hela atakuacha...anaamini yeye ndo anatakiwa apewe...i.e unamnunulia gari ila hela ya mafuta atataka utoe wewe hapo na kazi anafanya...
Hilo sibishi kabisa mkuu...

Sasa kikubwa tafuta mwenye kazi. Hawa wanawake rahisi saana kuwashawishi.

Nunua gari la milioni 6 ila hiyo kazi yake baada ya miaka miwili chukulieni mkopo wa milioni 10 mwambie tunakuza biashara ili nikununulie gari zuri zaidi.

Atasononeneka baada ya kamwaka kasahau...unawapiga wakwe kakakitu ka m 1.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa usiwazeee sana wala kutaka kujua kwann anakunyima mzigo.

Mtoe kwenye wazo la kumuoa (hautaumia) alafu muweke kwenye 18 za kupiga pumbu tuu yaan hata kama anajamaa mwingine kwako nipoa tu ili.mradi siku anakuletea K unapigaaaaaaa.

Kisha anza cheza na akili yake ,hawa ni kama watoto , watoto wanapenda Hela na wanapenda Pipi ,...sasa kwakua hela ni changamoto, tumia PIPI , Utapiga nyapuuu mpaka useme asanteee nmeshiba.

Changanya uongo uongo na.maneno matamuu matamuu , mpige lugha ya Pichaa, akikaa aanze kufikiria miaka miwili ijayo akiwa nawewe kama mke ataenjoy sana , mpe pipi, mpe.maneno matamu... HACHOMOKI.

Amini nakuambia, ukiwa Baharia mjanja... utapiga Nyapu bila hata kutoa sumuni... wewe utakua unatoa Hela ya nauli tu kurudi kwao ,ila ndo ivo, lazima kitandani upige kwelikweli akitoka hapo anaikandaa na barafu.

Yaaan.namanisha ivi, ukiwa huna hela, hakikisha kitandani unapiga kwelikweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! wewe ndo man of the post kwenye hii case yangu mkuu

Kuanzia sasa sitawaza vile nlifkiria eti mambo ya wife to be,akija poa asipokuja poa na simwambiii lolote na ntafanya kitu kama ulivoshauri,
Mawindo,akiamua atasepa mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kati ya sehemu usizotakiwa kuweka vinyongo ni kwenye mapenzi....

Jiulize umewaita babe wanawake wangapi hadi kufikia leo? Hao hao wanawake ni wake za watu tena wenye heshima zao.

Wengine hadi mlikuwa mnapakana mafuta na kunyoana nywele za sehemu za siri....leo wake za watu.

Na mkeo sasa ananyolewa na mabaharia....kaza moyo maisha yaendelee baba.
Dah! ndo maana Jf ntaiheshim hadi mwisho ina watu smart sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada usimwache mpenzi wako. Hajabadilika bali ni wewe unajishtukia.
Ila wanaume sijui kwanini mkikosa hela mnakosa confidence kwa wapenzi wenu.

Wakwangu alikuwa akikosa hela utasikia kila saa " Hannah nisamehe ila mambo yakikaa sawa nitalipiza kipindi chote". Nyumbani hakai kwenye sofa akaegemea, na hapo anakaa tako moja. Kitandani mkienda kulala anaanza kukaa kwenye kona ya kitanda mwisho kabisa anatafakari.
Nashukuru Mungu niliweza kumbadilisha, sasa hivi akiwa hana hela haombi msamaha tena anaanza tuu kuniita Boss. Na mimi nakuwa nampa zile hela ninazokuwa nimezitunza akinipa. Maisha yanasonga.
[emoji23]Kwamba nisamee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo mwanamke kabla ya november mwaka jama mlipokutana alikua anaishi vipi? Kiasi kwamba wewe kuyumba kiuchumi hadi penzi lenu lifubae??

Shukuru Mungu umeoneshwa true colour ya huyo binti kabla ya kufunga ndoa. Maana imagine mna watoto wawili then ukapoteza kazi yako je mapenzi yangefubaa au ungekukimbia kisa huna pesa ...
Mwisho kabisa.. tafuta mwanamke ambaye hata ukiwa huna pesa atakusaidia upambane upate pesa zaidi sio kukuacha kisa huna hela
Kuna mdau mmoja amesema hapo juu kuwa hawa viumbe ukimtamkia unampenda it means a lot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu ndo maana hata hapo juu nimeeleza kuna mabadiliko nimeanza kuyaona ikiwemo kutopata penzi since march

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huna chako hapo, mwanamke anaekupenda na akajua changamoto unazopitia hasa za kiuchumi hawezi kufanyia hvyo kamwe na anajua kabisa ukiwa vzr kiuchumi ulikuwa humnyimi kitu. Mfano mzuri ni mimi na mwanamke wangu hadi sasa tupo kwnye mahusiano ni mwaka wa 3 huu sasa.

Mwaka jana nilipitia changamoto kubwa sana nikadrop sana kiuchumi ilifikia hatua sina cha kumpa na nilikuwa sijamshirikisha kumwambia hali yangu lakini kwakuwa ananijua vzr alihisi utofauti na kuniuliza “hny vipi mbona siku izi hunijali kama mwanzo? Kuna tatizo baba &kama lipo usinifiche nieleze. Basi nikaamua kumuweka wazi and alilia sana akasema yatapita kwenye maisha kuna ups and down.

Namshukuru Mungu hakuwai kunionesha tofauti yeyote mpaka ile hali ilivyoisha, aliniheshim, alinifariji, alinipa ushirikiano kwnye kila analoona anahitajika na alikua msaada sana kwangu (inshort alinionesha yenye upendo wa kweli) sina cha kumlipa zaidi ya upendo wangu na namuombea kwa Mungu daima azidi kuwa wangu tutimize malengo yetu.
Ila kuna hizo mbarara nyingine hata uzipe kila kitu ukiwa na shida ndio kwanza anakuongezea shida zaidi.

Kuna baadhi ya wanawake wana upendo wa dhati sio kujali maslahi ila ni ngumu sana kuwapata kwenye hii dunia ya sasa. Mwanaume ukipata mwanamke anaekuvumilia kwenye magumu ya maisha kwa upendo mkubwa usimuache kama una malengo nae, huyo ndio pepo yako ya duniani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah! yani huyu wangu upendo wake umebaki kwenye simu tu kaka hapo kiukweli simsemi vibaya ila mengine ndo ivo nilisha hadi sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! yani huyu wangu upendo wake umebaki kwenye simu tu kaka hapo kiukweli simsemi vibaya ila mengine ndo ivo nilisha hadi sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu mshukuru Mungu kwa kukupa sababu ya kumjua kabla hamjafika mbali zaidi, nna imani hata hali ikija kuwa shwari tayari kuna kitu utakuwa umejifunza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wakuu

Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30

Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa kuanza mahusiano na binti mmoja wa mtaa wa pili ambae kiukweli nafsi yangu ilimkubali sana tangu siku ya kwanza namuona hadi leo hii tulipo.

Lakini changamoto ni kuwa siku chache baada ya kuanza mahusiano yetu dadangu wa damu alipata shida kubwa ya kifedha ambayo kama nisingeingilia kati kuokoa jahazi maisha yake yangeingia doa sana kama mjuavo mambo ya mikopo yalivo,kwa hiyo nikalazimika kumkopea bank kiasi ambacho itanilazimu nikae mwaka mzima ndo nirudi kwenye mstari.

Sasa dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kwamba kiasi cha fedha kinachobaki baada ya makato ni kidogo sana kiasi kwamba nashindwa hata kumhudumia mpenzi wangu huyu ambae hana ajira na kwao anaishi na mamake tu nae ni maisha ya chini tu hawezi mtimizia binti mahitaji yake.

So mpaka sasa anaonesha kunivumilia sana ingawa naona kabisa kuna namna mapenzi yetu yamefubaa na hata yeye ile moyo wa kujitoa sana kwangu dizaini umepungua na simlaum kwa hilo

Kwa hiyo wakuu binafsi inaniuma sana na sina amani kabisa kuendelea na haya mahusiano maana me nna asili ya kujali sana na najihisi vibaya kwamba hata 50k ya kubaki kumsaidia mpenz wangu kwa mwezi inashindikana.

Kingine tangu march 22 hajataka tena kukanyaga hom na tupo mitaa jirani,hii ina maana kwamba kaona ntafaidika sana japo kwenye msg mnapochati yuko happy tu na kuna wakati nlijaribu kumpotezea ikawa mwano kwamba labda lengo lilikua kumpata tu wakati ule.

Mwisho naombeni ushauri njia gani bora ya kumuacha huyu dada bila kumuumiza?

Samahani kwa uzi mrefu.
Mwanaume kulialia we unajipa minyororo ya kumhudumia mtu asiyemkeo, tatizo vijana wengi hamjui kutongoza gia zenu huwa ni kuhonga na kuhaidi ndoa. Sasa umeshakula mzigo unajifanya huna pesa ya kumhudumia unataka kusepa uende kwa mwingine
 
Back
Top Bottom