Ohooooo sasa nmekuelewa .
Kuna.mawili.... Toka mwanzo ulishindwa kuushika moyo wake na ukajikuta unamuhakikishia na kumlazimisha awe naww sababu una pesa ya kumtunza...now hali imebadilika naye kasepaa.
Au ulijitahidi sana kuushika moyo wake lkn yeye alikua keshafanya chaguzi lakua nawewe sababu ya pesa...( HAPA LAZIMA UTAFUTE PESA TU, HAMNA NAMNA )
na kwa kuzingatia maelezo ya upande wako mmoja tu, basi niseme , SHE IS NOT AN IDEAL WOMAN , hafai kua mke !!!... nahapa kuna mawili...
Uachane na mapenzi yake ,ufanye mambo yako
AU kama huna uhakika wa kupata demu mwingine, basi jifanye boya , akiwa anakukumbuka basi unajipigiaaaaa weee.
Sema nn unataka akuletee mzigo???
Mnunulie Magauni mawili ivi mazuri, na chupi chupi au hata na viatu kabisa .. piga pichaaa... mwambie Baby nlipita Dukani kwa mdada fulan rafiki angu, nikaona nikununulie zawadi hizi, naamini utazipenda sana ......
Yaan nachomaanisha hapo, Badili Pesa kua Vitu......alafu mfanye avifate kwako nasio wewe kumpelekea.
Hautaamini, alizoea kupewa 200K , atajikuta anagongwa kwa Gauni tu !!
Sent using
Jamii Forums mobile app