Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Ndio hivyo hivyo, kushare na mwanaume mwingine ilihali unajua kabisaaa, na unaridhia.

Hicho kitu kwangu hakipo..Kwanza dhambi ya usaliti kwangu haisameheki
 
So zile tambo za "siwezi kushare" ninazozisikiaga kwa wanaume ni unafiki tu, kumbe wanashare tena huku wakijua kabisaaaa.
 
Hicho kitu kwangu hakipo..Kwanza dhambi ya usaliti kwangu haisameheki

So hujawahi kushare? Let say ile ya kumtongoza mke wa mtu au mpenzi wa mtu?
 
Vipi ukishindwa kumpiku jamaa?

Sijawahi kushindwa kufanya hivyo, na mostly wanawake naokutana nao mara kwa mwra huwa wako na wapenzi wao, naomba kushare baadae namueliminate mshikaji.

Niko kama lowassa, sina msamiati wa kushindwa katika jambo nalolifanya.
 
We hujawahi kupinduliwa? Au ndio ile kimya kimya nawe hata hujui?
 
Mimi nipo hapa., mimi ndo mhusika mkuu wa hiyo nyimbo. Baraka ni my friend alipata idea ya huo wimbo kupitia my story..!! 1 day ntaiweka humu, ni story ya kushangaza na ya ajabu ila ni kweli imetokea.
 
Labda kama hamna mpango au malengo ya kuja kuwa mke na mume,na pia labda kama umemuwekea kauzibe kisa umemwambia una mtu wako so ili aone ndani atajidai kuridhia tu kuwa nawe bt si kiuhalisia toka moyon
 
Mimi nipo hapa., mimi ndo mhusika mkuu wa hiyo nyimbo. Baraka ni my friend alipata idea ya huo wimbo kupitia my story..!! 1 day ntaiweka humu, ni story ya kushangaza na ya ajabu ila ni kweli imetokea.

Duuuh!! Na ulikubali kabisaaa kushare, ila tukushukuru kwa story yako Baraka akatuletea kawimbo kataamu, i love the song.
 
Mie siwezi kuwa na mtu mwenye mtu... tena nikijua tu utapata makofi na kwa heri
 
Duuuh!! Na ulikubali kabisaaa kushare, ila tukushukuru kwa story yako Baraka akatuletea kawimbo kataamu, i love the song.

Eeeh nilikubali kabisa.! Yaani sometime najiuliza nina upendo wa aina gani kwa huyu mwanamke. Kesho ntaiweka story yangu, naamini mtajifunza kitu.
 
Naona unaniongelea hapo. Nina kinyaa sana.
Na kushea ndo kitu cha mwisho kufanya duniani.
 
So zile tambo za "siwezi kushare" ninazozisikiaga kwa wanaume ni unafiki tu, kumbe wanashare tena huku wakijua kabisaaaa.
Sana ila sasa yule mwenye mali hapo bold panahusika kama akigundua kuna mtu anamgongea ila yule anaegonga wa mwenzake yaani yupo comfortable kabisa ila na yeye kama ana wa kwake hapo bold panahusika (kifupi ule msemo wa CHAKO CHANGU, CHANGU CHANGU unahusika zaidi hapa)
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume wengine wanafanya hivyo
Binafsi ishawahi nitokea
Kuna mkaka moja alinitongoza nikamjibu tayar im already taken but jamaa king'ang'anizi ruba weka pembeni
Yaani eti yuko radhi kushare ili tu niwe nae
 
Mie siwezi kuwa na mtu mwenye mtu... tena nikijua tu utapata makofi na kwa heri

Makofi tena!! Why umpige jamani? Kama unamuacha si umuache tu hadi mpigane jamani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…