Daaaah! Hivi huyo anayekuficha hivyo ni nani nikamteke? Maana sio kwa kukumiss huku, nilikuwa najiandaa nami kuondoka jf kabisa, haya hebu pona haraka maana nafsi yangu imefarijika sasa.