KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
cool down my exNa wewe mpana dah yani unakaa unaangalia leo kakakiiza katoka na nani!pole maana kila nayekuwa naye urafiki anakuwa rafiki ila huyo mjumbe wako nasubiri akuletee ujumbe kama nilikuwa naye!sijui atasema yote?
Usichezee reli hii mizigo unayoiona nchi kavu imepita hapo!
Dah!kaa umaarufu mimi mbona maarufu toka kitambo??
Mwaaaaa my zanaki......!cool down my ex
Mwambie ajui huyo dogo sasa anajua mimi mererani ni nani baada ya askofu ni mimi saa umaarufu zaidi ya huo nini??marhabaaaaaaaa mdogo wangu Mentor
lol! umaarufu my foot! wapi jf au bongo - hahahhaaaaaaa
eeenh mwana....msomali tenaaaaa?!?!? mie simjui?!?! hukutekwa?!?!
tunashukuru kikao chetu kiliisha salama jana asubuhi ile proposal ilikuwa ndefu sana ,nilikuwa pembeni nawaangalieni tu mjikanyagekanyage weee nitonye Jiwe Linaloishi KakaKiiza Mtambuzi A REALY SUPERMAN
dalaliiii twende tr 26 tukajadili ile business proposal yetu yakufuga sunguradalaliiiiiiiiiii
cool down my ex
marhabaaaaaaaa mdogo wangu Mentor
lol! umaarufu my foot! wapi jf au bongo - hahahhaaaaaaa
eeenh mwana....msomali tenaaaaa?!?!? mie simjui?!?! hukutekwa?!?!
Daaamn hadi huyu alikutosa..sasa wewe utabaki na nani bro!??
Haha sijatekwa bana mbona unamjua...wa siku zote, tunapoendaga one day kabla ya kwenda misa!!!:A S 39:
KakaKiiza niache bro...washakutosa wewe hadi watoto wadogo wanakunyang'anya mademu..daaaah!!!!:yo:
sina shaka nawe twin wangu....ni ile business proposal ya kufungua genge la pilipili tulikuwa tunadiscuss
hakuna kitakachoharibika.dalaliiii twende tr 26 tukajadili ile business proposal yetu yakufuga sungura
ni ile business proposal ya kufungua genge la pilipili tulikuwa tunadiscuss
tunashukuru kikao chetu kiliisha salama jana asubuhi ile proposal ilikuwa ndefu sana ,nilikuwa pembeni nawaangalieni tu mjikanyagekanyage weee nitonye Jiwe Linaloishi KakaKiiza Mtambuzi A REALY SUPERMAN
unazijua zile pilipili zakutengenezea mabomu ??????inauzwa kwa pound bana sio uchafu TSH HALAAduh kweli nyie wapare unauza ng'ombe kuamua kesi ya kuku, matumizi ya pale kempisk laki mtaji wa genge la pilipili elfu 40 lol kweli nyie mmetumia akili