Kachomeshwa hindi la maana
Nilini hivi??Chelewa chelewa.
Shem bora uhamie kwangu tu.
Nilini hivi??
Yani wewe mpaka unakimbiwa inamaana umeshindwa kutunza! Paloma ni dada yangu hofu na mashakateletele hondoa moyoni mwako hata ukinikuta naye baa kuwa na amani sibaa tu hata guest wakati tupo safari moja heshima itaendelea kuwepo kama dada na kaka binamu huyu mtu aliyekuletea majungu eti katukuta sijui wapi porojo za Mentor nilikuwanaye merelani ni nikamnyima mahali pakuchimba tanzanite basi amekuwa na bifu na mimi achatu!
Don't worry it's just a business meeting....
I will be there waiting for you
shhhhhhh! do not disturb please, we are in the business meeting...
Kachomeshwa hindi la maana
Yani wewe mpaka unakimbiwa inamaana umeshindwa kutunza! Paloma ni dada yangu hofu na mashakateletele hondoa moyoni mwako hata ukinikuta naye baa kuwa na amani sibaa tu hata guest wakati tupo safari moja heshima itaendelea kuwepo kama dada na kaka binamu huyu mtu aliyekuletea majungu eti katukuta sijui wapi porojo za Mentor nilikuwanaye merelani ni nikamnyima mahali pakuchimba tanzanite basi amekuwa na bifu na mimi achatu!
Sasa unaona unavyodhihirisha bifu yako na mimi wewe siulienda kuniletea bainsa sosoliso anivunje mbavu?eti nina demu wake Paloma je kweli angekuja akakutana na mimi kwa bahati mbaya na paloma yupo ingekuwaje??? kumbe unajua kuwa mimi nilikuwanamsarandia!Ila kwa Madame B siwezi kwenda je unataka komando anivunje taya!Unantafuta maneno KakaKiiza..
Ulianza na Mamndenyi, Vin Diesel akakupiku
Ukahamia kwa Raiza, Kipaji Halisi akakupiku
nikaambiwa unamsarandia Paloma, sema ile siku hakuja
Leo hii unasema ulininyima sehemu ya kuchimba tanzanite wakati mi nlikuwa nachimba na Filipo u-partner na wewe niliutoa wapi?
Ebu nenda kwa Madame B fasta...taka yote kosa yote...si unamwona simba mzee Mtambuzi kachomeshwa mahindi kwenye mvua na shemeji Nivea.:tape2:
Sasa unaona unavyodhihirisha bifu yako na mimi wewe siulienda kuniletea bainsa sosoliso anivunje mbavu?eti nina demu wake Paloma je kweli angekuja akakutana na mimi kwa bahati mbaya na paloma yupo ingekuwaje??? kumbe unajua kuwa mimi nilikuwanamsarandia!Ila kwa Madame B siwezi kwenda je unataka komando anivunje taya!

Na wewe mpana dah yani unakaa unaangalia leo kakakiiza katoka na nani!pole maana kila nayekuwa naye urafiki anakuwa rafiki ila huyo mjumbe wako nasubiri akuletee ujumbe kama nilikuwa naye!sijui atasema yote?