Niuzie Huawei y300

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
Iam urgently looking for that gadget,iwe na hali nzuri kimuonekano mna isiwe mbovu tafadhali ikiwa inakubali line zote itakuwa poa zaidi.budget 80,000 cash in hand.
 
im URGENTLY looking for that gadget... iwe na hali nzuri kimuonekano mna isiwe mbovu tafadhali... ikiwa inakubali line zote itakuwa poa zaidi...
BUDGET 80,000 CASH IN HAND
80k umeenda chini mno. Maybe jiongeze ufikie angala 150k kwa inayotumia line zote, ambayo ni mpya na si ya promo...
 
Mkuu ..we differ alot.. hiyo 150k mimi nakuletea brand new full box... HAPO MIMI NIMETAKA USED ... tena hilo la kuingia line zote nimeandika "itakuwa vizuri zaidi"..
.... 80k is still my budget mkuu.. teh
 
Haya mkuu.. Cdhani lkn kama Huawei Y300 zimeshuka bei kias hicho. Maybe ukutane na mtu mwenye shida na njaa sana AU uuziwe iliyochoka na icyotumia line zote. Mpya ambayo inatumia line zote dukani inauzwa >180k
 
Sawa kaka...
 
Guys i still need the phones... Nataka mbili jameni... Quick deal
 
Back
Top Bottom