Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,041
Reaction score
12,851
Guys, mtoto wa watu ukiona haelekei kule unakotaka ni bora ukaachana nae.

Utaishia jela, hakuna faida yeyote utapata. Hasira hasara. Tumuombe sana Mungu tuwe na mwisho mwema.

Mimi nadiriki kusema asilimia kubwa ya wanawake ni pasua kichwa, anaweza akakujibu vibaya kama hauna moyo wa kiume, unauwa.

Kwahiyo mtu akikwambia niue unaua kisa una hasira? Hujui kama kwenye ugomvi mtu anaweza kutamka lolote? Ugomvi unapojumuisha watu wawili haijalishi mwanamke au mume lazima kila mmoja kichaa kitapanda, hakuna kitu kama ugomvi umetokea mwingine asikereke hapo ajidai fala tu, wote tumeumbwa na hisia wakuu, Inahitaji elimu kiasi gani kuelewa hili?
 
Kudeal na wanawake wa kisasa ni changamoto sana muhimu vijana msiwekeze pesa zenu sana huko pia mlinde hisia zenu always mwanaume hutakiwi kutumia hisia kuamua mambo ni akili ndo inahitajika zaidi kuamua mambo yote ikiwemo ya mahusiano
 
Nilijiapiza na naomba sana nisije kupigana na mwanamke asee... Katikati ya ugomvi lolote linaweza kutokea kwa yeyote.
 
Mahusiano mpaka yanafikia hatua hio kuna ugomvi wa hapa na pale na kuto elewana... mnaposhindwa kutambua mahusiano yamebadilika na mnahitaji kuzungumza kumaliza tofauti ndipo mnajikuta mnavunjiana heshima mbele za majirani...
 
Kwahiyo mtu akikwambia niue unaua kisa una hasira? Hujui kama kwenye ugomvi mtu anaweza kutamka lolote? Ugomvi unapojumuisha watu wawili haijalishi mwanamke au mume lazima kila mmoja kichaa kitapanda, hakuna kitu kama ugomvi umetokea mwingine asikereke hapo ajidai fala tu, wote tumeumbwa na hisia wakuu, Inahitaji elimu kiasi gani kuelewa hili?
Kamdomo hata maandiko matakatifu yamesisitiza "chunga sana ulimi".

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Nikionaga km hivi najisikia raha sana, nyie uaneni, tena uaneni kweli kweli.
Sisi kwetu ni sherehee, 😂😂😂😂
 
Mke kupigwa mwisho vibao vitatu vya nguvu tena mpigie huko chumbani watoto wako wasije hata wakahisi hicho kitendo.

Unapigaje mke aliyekubali ku-risk maisha yake labour ili aendeleze kizazi chako kama mwizi?tena mbele ya mtoto!
 
Back
Top Bottom