Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

Mke kupigwa mwisho vibao vitatu vya nguvu tena mpigie huko chumbani watoto wako wasije hata wakahisi hicho kitendo.

Unapigaje mke aliyekubali ku-risk maisha yake labour ili aendeleze kizazi chako kama mwizi?tena mbele ya mtoto!
Ni jambo gani mmeshindwa kueleweshana kama watu waizma mpaka mpigane kama watoto?
 
Ni jambo gani mmeshindwa kueleweshana kama watu waizma mpaka mpigane kama watoto?
Kwenye kueleweshana humo humo ndiko matatizo yanakoanzia wakati mwengine bora ungesema kwanini mmoja asikae kimya kuepusha vurugu?

Huyo anayeshikana na mkewe kama mtoto anakosea ndiyo maana nikasema hayo yakibidi yafanyike sirini.
 
Mwanaume Ukiweza tafuta pesa kihalali, kula vizuri, vaa vizuri na lala pazuri.Tunza wazazi wako.
Hizi mambo ya ndoa kaa nayo mbali
Hivi. Hao wazazi ndio watakupa watoto watakupa hitaji lako ukiwa unataka kutuliza hamu zako unajua kama mwanaume unatakiwa uwenaakili tunza familia yako na familia ikutunzee ndoa kama unajitambua utaiweza tu haina shida nyie ndio mnakuwa hamjielewi
 
Kwenye kueleweshana humo humo ndiko matatizo yanakoanzia wakati mwengine bora ungesema kwanini mmoja asikae kimya kuepusha vurugu?

Huyo anayeshikana na mkewe kama mtoto anakosea ndiyo maana nikasema hayo yakibidi yafanyike sirini.
Hiyo tabia ya mwanamke kushaut niuee au nipige inatokea kwa wanwake wengi, how comes uone wa kwako ni special na amekuudhi sana mpaka umpige au kumuua kabisa?

Mimi naona na nyinyi wanaume mjitafakari na sio kujiona kama mnakosewa sana, nyinyi pia ni binadamu na sio miungu watu, mpaka unapishana na mkeo jua kwamba kuna namna naye hajafurahishwa na jambo fulani!

Kinachowafanya muone wanawake wote ni machizi ni nini? Basi hakuna haja ya kuoana.. kila mtu achukue ustaarabu wake! Maana huwezi kumuoa mtu ambaye unaona hayuko timamu na una uhakika atakukera na utampiga!

Mambo yote yanayotokea hakuna geni hapo ni umeekuwa mdhaifu na kushindwa kumdhibiti kwa namna ambayo hamtofika hatua hiyo ya kujidhalilisha kwa majirani na kum-traumatize mtoto!
 
Back
Top Bottom