aretaskimario
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 527
- 248
Mungu hajajificha, anajionyesha katika KAZI ZAKE, KATIKA WENZETU, KATIKA NENO LAKE NA KATIKA SAKRAMENTI kama wewe ni Mkatoliki. Mungu yuko mahali pote na anatenda yote. Mungu akijifi2ha dunia itasimama. Kwa nini unasema mungu anajificha?
Sababu sijawahi kumuona.
Tena neno lake linajipinga