Niulize Swali lolote nitakujibu

Niulize Swali lolote nitakujibu

swali langu:Kwa nini umesema tukulize maswali

ili kwa uwezo alionipa mwenyenzi Mungu na kwa hekima, busara na elimu yangu kiduchu niweze kuwapa majibu ya kuridhika kuhusu hoja na maswali yenu
 
Unachagua viswali vya rahisi ndio unajibu mengine unapotezea tu!!
Jipange uje siku nyingine tena.
 
kwanini rais wetu hajui kwanini sisi ni masikini na kwanini pinda alisema wapigwe tuu
 
Jumamosi hii nimejipanga kujibu swali lolote. Haya, wenye maswali niulizeni kuhusu jambo lolote. Kunihusu, kuhusu siasa, dini, sayansi, teknolojia, mahusiano n.k

Jina Tanganyika lilitoka wapi. Na nani alitunga wimbo wa Tanzania Tanzania??
 
Nataka kuagiza Toyota Wish ya mwaka 2006 kutoka Japan, Je itanicost kiasi gani roughly mpaka niitoe bandarini?

Wasalaaam
 
Nifanye nini ili kudownload movies kwenye pc haraka na kwa ubora free bila kulipa
 
Mungu hajajificha, anajionyesha katika KAZI ZAKE, KATIKA WENZETU, KATIKA NENO LAKE NA KATIKA SAKRAMENTI kama wewe ni Mkatoliki. Mungu yuko mahali pote na anatenda yote. Mungu akijifi2ha dunia itasimama. Kwa nini unasema mungu anajificha?
Naona unachagua maswali!

Hahahaaa!

Kwa mfano nakuuliza kwanini ulizaliwa mwanaume/mwanamke! unaweza kujitetea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom