myabi
Member
- Apr 17, 2015
- 75
- 17
Mkristu mlokoleau muislamu maana ndo hupenda haya mambo ya dini.
Umejibh vyema mwana
Mkristu mlokoleau muislamu maana ndo hupenda haya mambo ya dini.
Hapo hadi aingie google
Nimeamua kurudi bro.Hivi wewe dada yangu upo??
ni mahali sahihi pa kutolea mawazo kwa uhuru na kupata mawazo ya wengin
Neno linasema kuwa mungu anatupenda na anaweza kila kitu, hapohapo anasema yeye ndio atupangia kesho yetu.
Sasa iweje mungu aseme kuna watakaoenda motoni?
Niambie maana ya ID yako? na kwanini umechagua hiyo?
nitake radhi tafadhali. Mimi ni mwanaume aiseUmeolewa?
ni ufupisho wa majina yangu halisi. Nipm kama wataka kufahamu krefu chake.
Jumamosi hii nimejipanga kujibu swali lolote. Haya, wenye maswali niulizeni kuhusu jambo lolote. Kunihusu, kuhusu siasa, dini, sayansi, teknolojia, mahusiano n.k
ni maandishi
-Kwanini Tanzania ni maskini wakati resource zote za kutuingizia hela tunazo?
-kwanin kuna kufa?
-Mtu akifa huwa anaenda wapi?
-kwanini ulizaliwa?
-kama jf isingekuwepo ungekuwa unafanya nini mda huu?
-Kitu gani kimekusukuma hadi ukaanzisha hii thread?
ndugu yangu, mungu ametupa uhuru wa kuchagua kwa utashi wetu wenyewe. Mungu haingilii maamuzi yetu wala hatupangii kwamba tufanye nini. Motoni ni kwa ajili ya wale ambao ni wakaidi kwa masuala ya mungu
Je kipi ni bora Kati ya aluminium na upvc Windows
niko baa gani hapa??
Haaa am soree ,ulivosema maswali yoyote nikajua ni uwanja wetu wa kujidai.nitake radhi tafadhali. Mimi ni mwanaume aise