Niulize Swali lolote nitakujibu

Niulize Swali lolote nitakujibu

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Jumamosi hii nimejipanga kujibu swali lolote. Haya, wenye maswali niulizeni kuhusu jambo lolote. Kunihusu, kuhusu siasa, dini, sayansi, teknolojia, mahusiano n.k
 
kwanini kila muda uume wangu unataka kufanya mapenzi? hata nikifanya asubuh nataman tena mchna..huwa naenda hta mapigo sita hadi saba ..je haina madhara kwangu hii??
note. bado sijaoa
 
Ushawahi kutoka na kipele sehem fulani ukawa unaficha ila kukaa unashindwa?
 
Hivi kwanini WATANZANIA ndio wanaoongoza kwa UPUMBAVU na kuwa wagumu wa kufanya maamuzi ya nani anafaa kuwa kiongozi wao? bali huangalia mtu mwenye pesa nyingi? kwanini? naomba majibu fasta
 
kwanini kila muda uume wangu unataka kufanya mapenzi? hata nikifanya asubuh nataman tena mchna..huwa naenda hta mapigo sita hadi saba ..je haina madhara kwangu hii??
note. bado sijaoa

mshukuru Mungu wewe ni mwanaume- kila siku asubuh sema NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUNIUMBA MWANAUME NA SI MWANAMKE. pili, usijali uwepo wa hali kama hiyo kwani inathibitisha kwamba uko imara na rijali. Mwisho acha zinaa, UKIMWI UNAUA
 
Kwanini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote anajificha?

Mungu hajajificha, anajionyesha katika KAZI ZAKE, KATIKA WENZETU, KATIKA NENO LAKE NA KATIKA SAKRAMENTI kama wewe ni Mkatoliki. Mungu yuko mahali pote na anatenda yote. Mungu akijifi2ha dunia itasimama. Kwa nini unasema mungu anajificha?
 
Ni kweli Dunia inazunguka? Au tumeaminishwa tu toka enzi na enzi? Mfano nikitoka Europe mpaka bongo kwa ndege ni Masaa 6 na nikitoka bongo kurudi Europe ni hayohayo masaa 6 kama Dunia inazunguka kwanini hiyo Europe isinifuate na nikatumia just 4 hours kama kweli Dunia inazunguka?!
 
Hivi kwanini WATANZANIA ndio wanaoongoza kwa UPUMBAVU na kuwa wagumu wa kufanya maamuzi ya nani anafaa kuwa kiongozi wao? bali huangalia mtu mwenye pesa nyingi? kwanini? naomba majibu fasta

ni uvivu wa fikra, kutojali mambo yanayohusu mustakabali wetu na taifa letu, kutofahamu haki zetu, elimu mbovu na UFISADI ndo umeharibu kabisa- watu wanaabudu wenye pesa na kudharau utu wao
 
Back
Top Bottom