Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 683
- 456
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Naona hujaaga ulikotokaHujui wewe, tulia basi!
Naona unapuyanga..hujui hata unaloliandikaIt’s a shame kudhalilisha ulikotokea, kwani wewe unaweza kueleza hayo kumhusu aliye kuzaa?[emoji1448]♂️[emoji1448]♂️
I didn't say thatDo you mean that,They can't think without emotions??
Biblia haisemi Adam alikuwa ameenda wapiNahisi ibilisi Ali m bandua Eva wakati Adam kalala.
Watu wenye chromosome za XXWanawake ndio wakina nani??
Watu wenye chromosome za XX
Naona walokole wanaulizana kuhusu msikiti
Majibu dhaifu kabisa!Naona hujaaga ulikotoka
AsanteMajibu dhaifu kabisa!
sema baadhi sio wazuriKunuka papuchi kunasababishwa na nini ?
Je mbona wanawake wazuri wanamaji mengi halafu wako baridi sana ndani ya papuchi?
Je unaambatana na dalili nyingine mfano muwasho?Eh bwana mkuu ivi mwanamke akitokaa ute ute kama mazwa mgando ivi lakin haunuki kila cku..kuna tatizo lolote
Hapa sijakuelewaKuhusu tabia zao au pale unapofanya nae, tendo vile anajisikia
HapanaJe unaambatana na dalili nyingine mfano muwasho?
Majimaji ya kawaida hayapaswi kuwa mazito kama maziwa mgando. Hizo ni fungus. Aende hospitali aandikiwe dawaHapana