Mkuu, Nimeona wapempa wengi wakitoka nje ya Pemba huwa na mafanikio makubwa na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufanikiwa. Ni wajasirimali hodari. Linalo nishangaza ni kuwa huko Pemba hawakuwa hivyo au hakukuwa na fursa za wao kuwa na ujuzi wa kuweza kufanikiwa wakitoka nje. Jee upi ni muono wako kwa hili ? kwa kweli sijawahi kufika Pemba.