Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Nimekuwa nawapenda wapemba kama mtu yeyote anavyoweza kupenda Wagogo au kabila lolote ila bahati mbaya siwajui vizurii naomba anaewajua anijuze

Nipo jijini Dodoma kwa sasa.

Instagram:kaukwaju
Mkuu karibu nyumbani nakukaribisha kwa mikono miwili... Achana nao wanaobeza kwamba tigo sijui imefanya nini ni mawazo yao tu. Na bila kusahau tigo ni sehemu yoyote zinanyofolewa. Ni bahati tu kubwa ni kumuomba Mungu akujaalie mke mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nawapenda wapemba kama mtu yeyote anavyoweza kupenda Wagogo au kabila lolote ila bahati mbaya siwajui vizurii naomba anaewajua anijuze

Nipo jijini Dodoma kwa sasa.

Instagram:kaukwaju
Huwezi kumpata mke Mpemba. Kitu cha mwanzo, Sio mahali ni mahari , jifunze kuandika Kiswahili kwanza
 
Nimekuwa nawapenda wapemba kama mtu yeyote anavyoweza kupenda Wagogo au kabila lolote ila bahati mbaya siwajui vizurii naomba anaewajua anijuze

Nipo jijini Dodoma kwa sasa.

Instagram:kaukwaju
Usithubitu MKUU,,, hao wa VISIWANI wanaoana wenyewe kwa wenyewe.,ukijitwisha huo mzigo UWE NA NGUVU SN...vinginevyo JASHO LITAKUTOKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur senior member , bado mgeni taratibu utaifahamu jf vizuri. Huku intellgency hakuna mapenzi nenda MMU
 
Write your reply...Tukutane MMU Mkuu nikupe taratibu zao.Hapa utakata stimu sio sehemu yake.
 
Kuna jamaa angu mpemba juzi kanishangaza kuniambia eti kaoa mtoto wa wa baba mdogo wake.. Nimeshangaa sana
 
Aqeelah nimeweka masharti ya kutosha kuhusu kupata mke wa kipemba,pitia vizuri na kama una sifa karibu sana Pemba mm nitakuwa mwenyeji wako kwa hilo.

Mm nna vigezo akhy ulivyosema,nataman sana kupata mke wa kipemba ila awe mweupe na ajue kumpwekesha Allah kwamaana mcha Mungu...japo mm maji ya kunde na npo vizur kidogo ktk dini.
mana kuna mmoja huu mwaka wapili nambembeleza nimuoe tatizo hana msimamo wa kuonyesha kakubali au akakataa adi mda mwengne nakata tamaa..
 
Daah umenikumbusha mwaka 2014 nilipata bahati ya kufika pemba, Ukweli usiopingika wapemba ni wakarimu mnoo na hawana choyo...

Nakumbuka nilipokua kule kila nyumba nilikua nakwaribishwa . Yaani ikifika saa 11 jioni basi kunya nyumba 6 zote zinanihesabia chakula, mm nikifika nakuta nishaandaliwa hapo barazani... Msosi wa maana haswaa, Wali uliokolea nazi, pembeni samaki wa mchuzi wa mbilimbi / embe, bila kusahau mchicha pamoja na ndizi pembeni . Kiufupi wapemba wanapika vyakula vya asili haswaa na vitu vinatoka quality

Yaani natamani kurudi pemba bado ila ndo majukumu yanabana.. Nimepamisi sana pale mwisho wa daladala (KONDE)
 
Wapemba wana makabila, je ni kweli wapemba hawataki mabinti zao waolewe na watu wa bara hasa wakiristo kuna uhusiano wowote wa watu wanaoka pemba msumbiji na pia watu wa Lindi
 
AlhamduliLlah katika safari zangu za hapa na pale nimefika Pemba na nikapapenda sana na nikajenga urafiki wa kufa na kufaana na Wapemba wengi.

Kusema za haki, Wapemba ni wakarimu sana, kisiwa chao ni super green na kizuri sana, vyakula vyao pia vizuri.

Baada ya kwenda kwa mara ya kwanza Pemba kama miaka 20 iliyopita na udugu nilioujenga na Wapemba basi AlhamduliLlah haipiti mwaka nakwenda mara mbili au tatu.

Ma sha Allah.
Utakuwa unaenda kupiga Jugna! Shirki ndio mnazozijua nyie! Punguani wahed!
 
Mkuu wafanyakazi wengi wanafanya ngono hadi maofisini inakuaje? sio jibu la msingi
Wapemba wengi wanapenda sana 0713 kwa Dada zetu au hata kwa baadhi ya vijana wa kiume. Utasikia.... Yule anatembea na Mpemba keshaharibika...... Kwa nini Wapemba wanahusudu sana LIWATI?
 
Ni masaa2 kutoka Mkoani Pemba port kwenda Stone town
Masaa 2 kwa chombo gani? Nimeishi Pemba (Tibirinzi) kwa mwaka mzima na inachukua masaa 6 kusafiri kutoka Pemba mpaka Unguja. Unaondoka Mkoani saa 2 asubuhi na unafika Unguja saa 8 mchana. Hakuna Speed boats kati ya Pemba na Unguja kutokana na Mkondo wa Nungwi. Haya masaa mawili si sahihi!
 
Mi nataka kuoa Mpemba... unaweza kuniambia wapemba wapi wametulia na wanafaa kua wake, na unaweza kunicconect.
 
Back
Top Bottom