The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,229
- 121,878
Kwani huko kwenu nyie mnauziwa kwa bei gani?Jini bei gani huko?
😀😀😀😀
Kwani huko kwenu nyie mnauziwa kwa bei gani?Jini bei gani huko?
Inawezekana. Huko Tumbatu kuwa wakazi wake hawajawahi kuona gari. yeba!!!!Je ni kweli kisiwani tumbatu ndiko kuna walozi wengi huko Pemba?
Hakna iyo kitu mkuuNi kweli Wapemba wanapenda sana mtandao wa TIGO??????
Tupe Siri ya UROJO yakhee
Jambo lkwanza ungetuambia wew sifa unazozjua kuhusu awo wapemba cz mm nmeish sanNimekuwa nawapenda wapemba kama mtu yeyote anavyoweza kupenda Wagogo au kabila lolote ila bahati mbaya siwajui vizurii naomba anaewajua anijuze
Nipo jijini Dodoma kwa sasa.
Instagram:kaukwaju
Pancha ya makalio au
Hahah