Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Kwanini wapemba wanapenda kukaa pamoja.
Mfano utakuta nyumba moja ina kuanzia bibi,wajukuu,shangazi n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hakuna tena kitu kama hicho. Kila mtu ana majukumu yake na kama ni kweli ni zamani ambapo ilikua wanaishi kwa kutegemeana,.. Ilikua mtu kama hana nyumba anakaa kwa kaka yake na familia yake yote huku wakisaidiana kummalizia nyumba yake palipobakia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pemba kimaendeleo ikoje?? Nasikia jamaa wanaubaguzi sana, MTU WA Bara ukienda wanakutenga, ni kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ni itikadi tu.. Mimi kule nilishangaa kuona wamehamia wabongo ndani ya wiki moja wameowa na mpaka leo sijui kama kwao wanakujua tena. Wamepapenda sana kutokana na amani na hususan na ushirikiano wanaoupata hawajawahi kupata sehemu nyingine. Mmoja yeye namkumbuka aliposlim alipewa hata nyumba na wakwe amalizie na bado leo wanaishi na watoto juu. Na pia kuna kipindi nilikwenda likizo nikaona wameongezeka na maskani juu wamefungua. Tembelea kijiji kimoja kinaitwa Micheweni utawakuta ndugu zako wanavoishi.

Kwa upande wa maendeleo ni kama maeneo mengine kuna matajiri na masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je ni kweli pemba hamna wanawake wanaotembea vichwa wazi (ukiondoa wazungu)??
 
Huku dar
Nyumba ina mama,watoto wa kiume na kike watoto wa kiume wameoa wapo hapo hapo na ndugu wengine kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengine ni wapangaji na mara nyingi wanapenda kupanga nyumba za wapemba wenzao kwa kuamini kwamba watoto wao wakike bado watakua na maadili ya kipemba. Wanahisi wakikaa na wabongo watoto wataiga vimini baadhi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nikweli pesa zena zina ushirikina? Kwamba ukimuuzia mpemba kitu hesabu muda mfupi tu hela yako imeisha na matumizi ya maana uliyofanya huyajui
 
Kwanini inakua ngumu kuruhusu mwingiliano wa kindoa na mtu kutoka bara ama sivyo awe tajiri?

Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe?

Unamchukuliaje asiye mpemba?

Umewahi ishi bara? Ulichukua muda gani kuzoea mazingira?

Unadhani ni Kwanini anal sex inadaiwa kushamiri huko pemba?
 
Nataka kuja kung'oa mtoto wa kiarabu huko pemba, ila nasikia hawataki kuolewa huku bara.

Kuna ukweli wowote??

Nipe taratibu sheikh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... Mkuu mimi sio shekh, inategemea na sehemu utakayobahatika sio kwamba hawataki. Ila wana itikadi ya kupeana wao kwa wao. Ukiona rangi nyeusi wameowana na mwarabu huyo kwakweli itakua wamenza mbali sana. Juhudi za kazi anapofanyia kazi kwa waarabu wanamchunguza tabia mpaka wanajiridhisha kumpa mtoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom