Kwhiyo unaingia kwenye mahusiano, ila si kwa lengo la kuolewa.?Hapana, sihitaji kuolewa tena.
Nimeshaamua kupambana kivyangu, hii inatosha.
Sijibiwi kwa nini lakini?Asante sana.
Unajua wakati mwingine tunaingia humu mitandaoni kujifariji tu ila nyuma ya keyboard tuna maumivu makali sana na huwa tunakufa kimya kimya.
Hakuna namna
Sijawaji kuwafuatilia kwa maana hiyo itakuwa ngumu kuwafahamu.Ingekuwa vipi kama ungewafahamu akina Tlaatlaah Magonjwa Mtambuka na muwashambwa
relax ndugu mropokaji ikiwa huna swali bora zaidi la kujenga,Chawa hauwezi kuwa na swali la kujenga daima
Je, ukikutana na secretarybird kwa bed 🛏️ unahisi itakuwaje.Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).
Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.
ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,
Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,
Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,
Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.
Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)
Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.
Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.
Jioni njema.
View attachment 3315319
Shalom shalom sabato njemaShalom
Nikuulize swali ukiwa kama nani gentleman?relax ndugu mropokaji ikiwa huna swali bora zaidi la kujenga,
mihemko haijengi 🐒
Na hii id yako min..!! 😹😹😹Madam sanga 😂 unanichamba serious
Kwenye Uzi niliomwita moderator 😂Na hii id yako min..!! 😹😹😹
Unaweza kuolewa na mwanaume mwenye watoto tayar na ambaye hatak kuzaa tena.Hapana, sihitaji kuolewa tena.
Nimeshaamua kupambana kivyangu, hii inatosha.
jikite kwenye hoja mropokaji itakusaidia sana kusonga mbele 🐒Nikuulize swali ukiwa kama nani gentleman?
Ok unaweza share kidg maumivu uliyosemea hapo juu?Ndio, kwa upande wangu ninaona umuhimu wa mwanaume.
Japo nilidhalilika ila nimeshasahau.
Hapana, kuwa mama wa nyumbani hakukufanyi kuwa mke bora kwa mumeo.
Kuwa mama bora ni zaidi ya kuwa mama wa nyumbani.
Mke bora ni yule anayemtii na kumuheshimu mume kwa madhaifu na mapungufu yake.
Wapo wamama wa nyumbani wengi sana na hawana ubora wowote katika ndoa zao.
Unajua katika hali ya sasa ya kiuchumi, kila mtu anapenda kuishi maisha mazuri.
Naona suala la kudate na wababa si jambo baya au zuri ni vile tu kama utatimiziwa malengo yako na kuwa na heshima kwa mubaba wako 🙂
Leo ndio nimekuelewaAsante sana.
Unajua wakati mwingine tunaingia humu mitandaoni kujifariji tu ila nyuma ya keyboard tuna maumivu makali sana na huwa tunakufa kimya kimya.
Hakuna namna