Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Si urithi wa bibi upo..!! 😹
Min usinulize maswali ya kitoto mimi, muulize mleta uzi hayo maswali yako mfyuuu..!! 🤣
Min nauliza maswali yoyote yale , nimelelewa watoto miaka ya kutosha nimegundua hakuna hakun kipya chini ya jua kama mhubiri anavyosema
.
 
Kipi kinamfanya mtoto wa kike aingie kwenye biashara ya udada poa kati ya sababu ambazo zinamsukuma kufanya hivyo ama za ushawishi kutoka kwa watu ambao wako kwenye hiyo biashara tayari😫😫
Kiukweli Ushawishi ndio sababu kuu kuingia kwenye hiyo biashara ya ukahaba.
Hakuna msukumo unaokupelekea kuingia huko.
Kwanini huo msukumo usikupelekee kubeba beseni la nyanya kutembeza mtaani?

Marafiki, ndugu, hali ngumu ya maisha na vingine vingi hupelekea wadada wengi kushawishika kuingia kwenye hiyo biashara chafu.
 
Umetengana na Mume wako.

Ukiwa unatoa ushaur kwa mwanamke/mwanaume ambaye anatatajia kuingia kwenye ndoa.

Ni kitu gani unamshauri asimfanyie mwenza wake na kwanini?
Nimetengana nae baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kuzaa na kupata mtoto.

Ndoa ni mapambano na kila ndoa ina changamoto zake, wasiogope kuingia.
Ndoa ni heshima na kuitwa mke wa fulani ni heshima pia.

Hapa kinachotakiwa ni masikilizano, maelewano na kuheshimiana.
Na kikubwa kuliko vyote ni kutunziana siri za ndani mwenu.
 
hv wadigo ndo wale fundi wa kutengeneza nyash za watoto wa kike?
Naona utatatibu huu upo karibu kila kabila.
Unajua sisi tuliolelewa na mabibi huwa kuna namna tunatengenezwa ili tuweze kuwa na miili iliyojikata.
Ni karibu kila kabila wanafanya.
Wanyamwezi, Wanyakyusa nao hufanya hivi ili kutengeneza maumbo ya watoto wao.
 
Si urithi wa bibi upo..!! 😹
Min usinulize maswali ya kitoto mimi, muulize mleta uzi hayo maswali yako mfyuuu..!! 🤣
Min nauliza maswali yoyote yale , nimelelea watoto miaka ya kutosha nimegundua hakuna hak


kipya chini ya jua kama mhubiri anav
yosema.
Sasa mimi mtoto wako? 😹
Na binti na kijana lamo na kijana yupo high school
 
Back
Top Bottom