KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,443
- 5,538
Unadhani kati ya pulling factors na pushing factors zipi zina nguvu ya kumuingiza mtoto wa kike kwenye biashara ya udadapoa?Unajua hakuna aliyezaliwa na akili ya kujua lipi jema na lipi baya na vilevile katika utafutaji wa maisha kuna mengi hutokea pasi na wewe kujua.
Ushauri wangu ni kwamba watambue magonjwa yapoa.
Unajua madadapoa hudhani hii kazi ni ya haraka katika upataji wa pesa ila ina riski kubwa sana.
Huko nilikuwepo ila nilipambana kutoka kwa kuwa inadhalilisha sana utu.
Nawashauri watafute biashara za kufanya hata zenye mitaji midogo.
Waanze na walichokuwa nacho