RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 3,663
- 6,906
Hiyo picha hapo ndio yako!?
Ndio maana huna kikazi eeeh? Ila pole mwaya.....Ndio, hakuna cha kuficha.
Nilikuwa najiuza kutokana na hali ngumu ya maisha.
Ugumu wa maisha na hali ngumu ya nyumbani ndio iliyopelekea kuingia katika hatari hii.
Ila imebaki historia na sitaki kurudi tena nilikotoka