Niulize chochote

yani anazd kujiaibisha. Huyu dada ana matatizo sana.

We ndio mwenye matatizo, ulichek in uko tilapia mwanza wakati inaonyesha ulipost wakati uko somewhere near dar es salaam, ukaulizwa ukachuna na mmoja wa friends wako ukala jiwe....kaka be real na sio kufoji! ukininyooshea kidole jua vinne vinakuelekea kaka....gud nyt
 
Swali langu!! je, unamkubali na kumpenda rais wa nchi yako?
 
Swali langu!! je, unamkubali na kumpenda rais wa nchi yako?

Simtambui raisi wa tanzania, kama mtu simtambui nitamkubalije? nampenda kama binadamu mwenzangu ila kama kiongozi simtambui
 
Simtambui raisi wa tanzania, kama mtu simtambui nitamkubalije? nampenda kama binadamu mwenzangu ila kama kiongozi simtambui

je, mapendekezo yako ni yapi? ni nani ambaye wewe unaona anafaa kuwa rais wako na umkubali?
 
je, mapendekezo yako ni yapi? ni nani ambaye wewe unaona anafaa kuwa rais wako na umkubali?
Kwa tanzania mpaka dakika hii sijaona mtu anayefaa kutufikisha pale ambapo tunatakiwa tufike...wote ni wachumia tumbo tu, hata wewe ukipata uongozi leo inawezekana ukawa kama baba rizi na kunufaisha familia na swahiba zako, heri hata mkoloni arudi kwa style tofauti na ile ya awali ya kututesa
 
Kwa tanzania mpaka dakika hii sijaona mtu anayefaa kutufikisha pale ambapo tunatakiwa tufike...

We jamaa unatokea kilimanjaro sehemu gani? duh! kuna kaujinga umekasema hapa...ila ngoja tuwekane sawa kwanza!!
 
We jamaa unatokea kilimanjaro sehemu gani? duh! kuna kaujinga umekasema hapa...ila ngoja tuwekane sawa kwanza!!

Mzee mimi ni wa thame/same, nilishajibu hili hapo awali
 
Mzee mimi ni wa thame/same, nilishajibu hili hapo awali

ahaaa! ndio maana basi, mawazo yako kidogo yako tenge!! na wewe wa Same unajiona wa kilimanjaro? akili yako bado fupi, ref: baadhi ya majibu yako hapo juu!!
 
ahaaa! ndio maana basi, mawazo yako kidogo yako tenge!! na wewe wa Same unajiona wa kilimanjaro? akili yako bado fupi, ref: baadhi ya majibu yako hapo juu!!

Kama yangu fupi basi ya kwako ina mtindio, yani unataka watu wote tuwaze na kunena sawa?kweli wewe ni taahira na sijui humu ndani unafanya nini, nenda kojoa ulale
 
Kama yangu fupi basi ya kwako ina mtindio, yani unataka watu wote tuwaze na kunena sawa?kweli wewe ni taahira na sijui humu ndani unafanya nini, nenda kojoa ulale

mawazo mengine yapo wazi...kuwa na adabu itakusaidia
 
hahaha. Dar kuna Tilapia?
 
hahaha. Dar kuna Tilapia?

Ndio swali uliloulizwa na mdada mmoja kwenye ile check in yako ila hukujibu ukapotezea.......kaka kuwa ukweli, kukaa kwenye hotel kubwa haina maana kwamba wewe ni matawi, so ridhika na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…