Niulize chochote

Niulize chochote

ah ah! Jichanganye tu ndipo utapojua kama nimepata ajira machinjioni au sijapata

mi nilidhani kung'ang'ania kuchinja kumeisha kumbe bado..., afu kitu kingine Maureen anakusalimia,anasema eti rudi mkalee mwanenu
 
ah ah! naona umetumwa wewe sio bure, hata ndoa yangu na Ciello ulivunja wewe
mi nilidhani kung'ang'ania kuchinja kumeisha kumbe bado..., afu kitu kingine Maureen anakusalimia,anasema eti rudi mkalee mwanenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom