kama ni ukweli je??? Tony alikuwa mmbaguzi kweli ndo maana alinywea
Sikuona swali lako..
Wale watoto sio wa Michael jackson kabisa na Hlo linafahamika hata kwa normal drpiction, Daktari wa Michael nayeye alisema pia, kama unakumbuka mkuu mwaka jana Mtoto wa Kike wa Michael jackson aitwaye Paris Jackson alitaka kujiua baada ya kujua hana undugu na Prince Michael kaka yake..
Kwa kifupi watoto sio wa Michael biologicaly
Huo ugonjwa wa ngozi uliomfanya awe anafanya 'make up' kwanini hakuusema kipindi akiwa hai? Je, make up ilijumuisha na uchongaji wa pua? Maana pua yake nayo ilibadilika muonekano tofauti na alivyokuwa awali...
Vp kuhusu Cleverland(sijui kama nimepatia), lile eneo alilokuwa anaishi...
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi kiasi kufikia mweupe kabisa, mafanikio, controversy kwenye maisha yake , scandal mbali mbali pamoja na legacy yake..
Baadhi ya rekodi zake ni...
1. Mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi katika historia ya muziki wa biashara(Guiness book of Records)
2. Mwanamuziki maruufu zaidi
3. albamu iliyouza zaidi " Thriller"
4. Mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi zinazoheshimika
5 Mwanamuziki Tajiri zaidi ambaye amefariki
Swali la mwisho, unadhani Diamond Platnumz ana vi-element vya MJ? Samahani lakini
Niongeze tu hapo kuwa Video ya Thriller ndio yenye gharama kubwa mpaka sasa haijawahi vunjwa record yake.
Kwaio alikuwa hana mtoto ata mmoja
Second question ::kwanini alipasua pua
Sikuona swali lako..
Wale watoto sio wa Michael jackson kabisa na Hlo linafahamika hata kwa normal drpiction, Daktari wa Michael nayeye alisema pia, kama unakumbuka mkuu mwaka jana Mtoto wa Kike wa Michael jackson aitwaye Paris Jackson alitaka kujiua baada ya kujua hana undugu na Prince Michael kaka yake..
Kwa kifupi watoto sio wa Michael biologicaly
Aisee mkuu. Ila kisheria ni wa kwake maana huyo mtoa mbegu ni lazima alilipwa fweza nyingi. Hope mama zao hawajui mtoa mbegu maana mwisho wa siku watoto wataunganishwa na baba zao halisi. Sasa mkuu ni kwa nini hakuzaa wa kwake au alikuwa na shida biologically? So sad.
Michael jackson kwa asili ametokea Ivory coast na alipewa uongozi wa kabila linaloitwa agni mwaka 1992, ambalo kwa uchunguzi wake ndilo asili ya familia ya Jacksons.
He was a member of kkk
Stop lying.
Bado hujajua ishu zinazo.itwa secret,,,,,,,
Kama ni "secret" wewe umezijuaje?