Niulize chochote kuhusu mapenzi...

Niulize chochote kuhusu mapenzi...

midson: frequency of makng love isnt/les proportional 2 the growth of penis, rather, its smhw proportionl 2 its strength
 
magoo:
nashukuru, ila sidhani kama umenisahihisha zaidi ya kufafanua majibu yangu, ambayo nimeandika kifupi!!
 
slave: kufanya mapenzi ni maamuzi yanayotokana na mawazo, watumishi wa Mungu uliotaja mawazo yao ni kumtumikia Mungu!
 
slave: kufanya mapenzi ni maamuzi yanayotokana na mawazo, watumishi wa Mungu uliotaja mawazo yao ni kumtumikia Mungu tu!
 
slave: kufanya mapenzi ni maamuzi yanayotokana na mawazo, watumishi wa Mungu uliotaja mawazo yao ni kumtumikia Mungu tu!
 
Eti inawezekana kwa mwanaume player kuacha uplay boy?
 
mmh.. nimechelewa mengi kumbe... mshauri anaonekana yupo makini sana, lakini kwanin mada ipo chit chat? au inachekesha?
 
Qsn
1. Why in recent times people are obsessed and practice anal sex? While the asshole has been there since then? Is it part of global warming?
2. What are proven healthy risk of mining (licking down south I.e clitoria tenatea)?
 
Eti inawezekana kwa mwanaume player kuacha uplay boy?

Ndio inawezekana.. Ni maamuzi tu. Ni sawa na kuamua kuacha pombe.. Cha muhimu uwe na alternative ili uwe bize, na hatimae u'divert mawazo.
 
Qsn
1. Why in recent times people are obsessed and practice anal sex? While the asshole has been there since then? Is it part of global warming?
2. What are proven healthy risk of mining (licking down south I.e clitoria tenatea)?

U know anal sex has been practised in centuries.. but in recent days seems to be widely spread due to advancement in tecknology, thereof behavior like that of "homosexual" easily seen and spread rapidly..

Risk of clitoral licking is simple way to contamination.
 
mshauri nimeachana na mpenzi wangu nashindwa kumsahau then naomba unishauri jinsi gani ntapata mpenzi wa maana
 
mshauri nimeachana na mpenzi wangu nashindwa kumsahau then naomba unishauri jinsi gani ntapata mpenzi wa maana

Pole sana mrembo..
Kumsahau ur x basi yakupasa uwe bize na shughuli uliyokuwa unafanya kabla ya kuwa nae, ambayo ipo kiburudani zaidi.. Mfano kama ulipenda michezo au tamthilia basi stick into it.. Pia tumia muda wa ziada kutengeneza marafiki wengi wa kiume wa kawaida, ambao ofcoz watakushauri mengi na wengne watakutongoza. Hapo hapo u choose the best!

Karibu tena.
 
mpenzi wangu yuko busy sana siku hizi, na hana tena ile hali ya kubembeleza na kutaniana, mapenz yake ni makav mno, nifanyeje arudi kuwa kama kawaida?
 
Back
Top Bottom