Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kiisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
Hata mm nilisikia hivyo nikaogopa kuzichukua maana ningepoteza wateja wengi tu but all in all tupende vitu ambavyo vinaaminika sasa hivi makampuni ya total castrol oryx liguil molly gp, lake oil na lubex ndio yanasupply oil kwa wingi hapa chini tujaribu kutumia miongoni mwa makampuni hayo
 
Jina Lenyewe la oil ni TAKUMI,siwezi nunua kabisa oil ya dizaini hio ambayo hata reputation yake huku mtaani haijulikani kabisa.
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
 
Jina Lenyewe la oil ni TAKUMI,siwezi nunua kabisa oil ya dizaini hio ambayo hata reputation yake huku mtaani haijulikani kabisa.
Hilo jina hata mimi limenishtua sana....sijawahi kulisikia...
Bora angenunua Onyx za hapa hapa nyumbani...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari
Bora ununue kutoka Japan lkn inauzwa na hao wauza magari wenyew mfano Toyota na Nissan wana oil zao
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari
Unajua siku hizi kuna wahuni wapo hapo china wanachakachua vitu balaa....

Ni afadhali kutumia total au Castrol au oryx ambazo utanunua moja kwa moja kwwnye vituo vyao vya mafuta au kwenye maduka yanayoeleweka...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari
Kumbuka kuwa wachina wengi wanaouza vitu feki hutumia lebo ya "Made in Japan"; na vile vile wakati mwingine hutumia jina la brand ya kampuni nyingine kabisa.
 
Total engine oil 5w30 wanauza 12000 kwa Kita moja pale fuel station mlimani city.
Alikuwa anauza TZS 110,000.00 lakini tukapunguziana mpaka 100,000.00. Ni Mza pale Sinai. Kuna mwingine alikuwa ananitafutia aina ya TOTAL mjini kati, mwenye nayo alikuwa anauza TZS 20,000/L na mbaya zaidi akawa amefunga yuko mbali.
 
Nisikudanganye, jibu la swali hilo silijui ingawa pia naamini huenda haiwezekani kwa sababu nadhani injini hizo zina mounting zinazotofautiana. Kwa hiyo hata ukifanikiwa kufanya hivyo, unaweza kukuta unasababisha gari kuwa na vibrations sana.
Na je engine ya ist kwenye passo inawezekana!
 
Haya ni maswali ya darasani zaidi ya kiufundi; vipi uko college? Vacuum ni mvuto wa hewa kutoka nje kuingia kwenye intake manifold, hewa ya nje inakuwa na pressure kubwa kuliko kwenye intake manifold, hivyo kwa kutumia Bernoulli's principle, hewa ya nje inaingia ndani ya intake manifold yenyewe kutokana na ptofauti za mgandamizo (pressure), throttle valve ni vali inayodhibiti kiasi cha hewa inayoingia kwenye intake manifold, turbocarger ni turbine inayogandamiza na kusukuma hewa nyingi kwenye combustion chamber kuhakikisha kuwa mafuta yote yanaungua vizuri.

Kama unataka kujua theory juu ya ufanyaji kazi wa injini, kuna vitabu vingi, ila kitabu kimoja ambacho ni chepesi sana kuelewa ambacho ningekushari uanze nacho ni hiki hapa

PDF scan yake inapatikana hapa

Shukrani san mkuu kwa kunipa jibu zuri ndio niko college mung azidi kukubariki kwa kutuelimisha Na usichoke kutujibu maswal yetu
 
Mkuu engine gani nzuri kati ya 4K,5K na 7K za petrol kwenye townace truck
 
Back
Top Bottom