Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Nimeenda kwa fundi amenambia ni CLUTCH PLATE zimeisha
Possible misdiagnosis: Je gari halina nguvu? yaani wakati ukikanyaga mafuta haliongezi mwendo? Kama haliongezi mwendo basi kweli ni clucth plate lakini kama gea ikishiangia gari linakwenda vizuri tu, basi huenda tatizo siyo clutch plate bali hydraulic fluid ya clutch. Kumbuka kuwa kuendesha gari bila kuwa na hydraulic ya kutosha huhishia kuharibu clutch plate pia.
 
Gia ikishaingia gar linachanganya vzur tu shida tu ni kama gia inakwama bas lakin ikishaingia inakaa sawa
Possible misdiagnosis: Je gari halina nguvu? yaani wakati ukikanyaga mafuta haliongezi mwendo? Kama haliongezi mwendo basi kweli ni clucth plate lakini kama gea ikishiangia gari linakwenda vizuri tu, basi huenda tatizo siyo clutch plate bali hydraulic fluid ya clutch. Kumbuka kuwa kuendesha gari bila kuwa na hydraulic ya kutosha huhishia kuharibu clutch plate pia.
 
Hii unaimwaga baada ya km ngapi..??
Kwa kawaida kama gari imetumika vizuri bila misukosuko ya kiufundi, oil inatakiwa imwagwe kila baada ya km 8,000 na ushee tu. Ila kukiwa na msukosuko sana kama vile safari za kupanda milima kwa muda mrefu za mara kwa mara na mizigo mizito, basi inabidi oili imwagwe mapema kabla ya hapo, kama km 6,000 hivi.
 
Tunashukur kwa kutupa somo zuri m mim maswali yang n mawil (1)kazi ya throto valve n nini pamoja Na vacuum (2) mfumo wa Turbo unafanyajee kazii .Nawasiilisha karibu Kichuguu
 
Tunashukur kwa kutupa somo zuri m mim maswali yang n mawil (1)kazi ya throto valve n nini pamoja Na vacuum (2) mfumo wa Turbo unafanyajee kazii .Nawasiilisha karibu Kichuguu

Haya ni maswali ya darasani zaidi ya kiufundi; vipi uko college? Vacuum ni mvuto wa hewa kutoka nje kuingia kwenye intake manifold, hewa ya nje inakuwa na pressure kubwa kuliko kwenye intake manifold, hivyo kwa kutumia Bernoulli's principle, hewa ya nje inaingia ndani ya intake manifold yenyewe kutokana na tofauti za mgandamizo (pressure), throttle valve ni vali inayodhibiti kiasi cha hewa inayoingia kwenye intake manifold, turbocharger ni turbine inayogandamiza na kusukuma hewa nyingi kwenye combustion chamber kuhakikisha kuwa mafuta yote yanaungua vizuri.

Kama unataka kujua theory juu ya ufanyaji kazi wa injini, kuna vitabu vingi, ila kitabu kimoja ambacho ni chepesi sana kuelewa ambacho ningekushari uanze nacho ni hiki hapa

PDF scan yake inapatikana hapa

Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha

Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na ilikuwa poa kabisa na nikaanza safari mpaka iringa, nilikiwa naenda 130-150kph na nilifika salama Iringa kabisa. Asubuhi yake nikacheck engine oil kabla ya kuanza safari nyingine nikakuta engine kavu kabisa hamna oil! Nikamfuata fundi kuja kucheck naye akasema hamna oil. Basi tukafuata oil ya total quartz 9000 (synthetic) na kuongeza ili tuweze kuipeleka gari garage ili tuweze kuiangalia kwa undani. Cha kushangaza hakukuwa na leakage yoyote! Baada ya kuhakikisha hakuna leakage nikaendelea na safari ya kama km 400 na nilifika salama na oil ipo level ile ile tuliongeza! bado najiuliza ile oil ya mwanzo ilipotelea wapi?
932262037.jpeg
 
Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha

Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na ilikuwa poa kabisa na nikaanza safari mpaka iringa, nilikiwa naenda 130-150kph na nilifika salama Iringa kabisa. Asubuhi yake nikacheck engine oil kabla ya kuanza safari nyingine nikakuta engine kavu kabisa hamna oil! Nikamfuata fundi kuja kucheck naye akasema hamna oil. Basi tukafuata oil ya total quartz 9000 (synthetic) na kuongeza ili tuweze kuipeleka gari garage ili tuweze kuiangalia kwa undani. Cha kushangaza hakukuwa na leakage yoyote! Baada ya kuhakikisha hakuna leakage nikaendelea na safari ya kama km 400 na nilifika salama na oil ipo level ile ile tuliongeza! bado najiuliza ile oil ya mwanzo ilipotelea wapi? View attachment 1252356
Pole sana; ni muujiza mkubwa sana huo wala sina maelezo ya kuridhisha kuhusu tukio hilo. Inawezekana kuwa hawakujaza oil kiasi cha kutosha kwa hiyo ukipima wakati gari iko kwenye kilima kuelekea chini unaona kama oil inatosha lakini ukipima wakati gari liko kwenye kilima kuelekea juu unaona kuwa hakuna oil kabisa.
 
Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha

Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na ilikuwa poa kabisa na nikaanza safari mpaka iringa, nilikiwa naenda 130-150kph na nilifika salama Iringa kabisa. Asubuhi yake nikacheck engine oil kabla ya kuanza safari nyingine nikakuta engine kavu kabisa hamna oil! Nikamfuata fundi kuja kucheck naye akasema hamna oil. Basi tukafuata oil ya total quartz 9000 (synthetic) na kuongeza ili tuweze kuipeleka gari garage ili tuweze kuiangalia kwa undani. Cha kushangaza hakukuwa na leakage yoyote! Baada ya kuhakikisha hakuna leakage nikaendelea na safari ya kama km 400 na nilifika salama na oil ipo level ile ile tuliongeza! bado najiuliza ile oil ya mwanzo ilipotelea wapi? View attachment 1252356
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
 
Back
Top Bottom