Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 453
- 376
naomba kujua ni gx110 aina ipi ambayo fuel consuption yake ni nzuri na service nzuri. asanteHaiwezekani boss....angalia power to weight ratio...
hilux ni gari kubwa sana kwa passo
naomba kujua ni gx110 aina ipi ambayo fuel consuption yake ni nzuri na service nzuri. asanteHaiwezekani boss....angalia power to weight ratio...
hilux ni gari kubwa sana kwa passo
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler. Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through parttime activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu. Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto repair shop. Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.
Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.
Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Matumizi ya natural gas kwenye injini za petroli ni sawa tu; hakuna tatizo lolote kabisa. nadhani matatizo yanaweza kuwa ni namna ya ufungaji wa matanki hayo yasivujishe gasi.Hivi mkuu Kichuguu, huu mtindo unafanywa na chuo cha DIT wa kuongezea mfumo wa kutumia mitungi ya gas kwenye magari ya petroli kitaalam upo je?
Kuna madhara yoyote?
Mimi binafsi swala la mtungi kukaa ndani ya gari (hatchback) bado halijanibariki
Hivi kwanini hizi vanguard hazina spare tairi mkuuUsishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler. Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through parttime activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu. Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto repair shop. Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.
Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.
Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Kuna gari natumia Toyota Brevis cc2490 imeanza tatizo la ku plink (kutoa ka mlio fulani k,a,k,a,k,a,k,a ) ila baada ya muda ina kuwa sawa hili tatizo linakua temperature ikiwa chini ikipanda linaisha.Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler. Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through parttime activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu. Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto repair shop. Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.
Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.
Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Tazama engine oil kama imepungua.Kuna gari natumia Toyota Brevis cc2490 imeanza tatizo la ku plink (kutoa ka mlio fulani k,a,k,a,k,a,k,a ) ila baada ya muda ina kuwa sawa hili tatizo linakua temperature ikiwa chini ikipanda linaisha.
Angalia aina ya oil unayoitumia ni nzito sana hivyo kufanya kazi hadi joto la engine liwe kubwa ndo iweze kusambaa vzr nakushauri kwa aina hiyo ya gari tumia oil 5w30/10w30 umekosa sana tumia 5w40 achana na sae40Kuna gari natumia Toyota Brevis cc2490 imeanza tatizo la ku plink (kutoa ka mlio fulani k,a,k,a,k,a,k,a ) ila baada ya muda ina kuwa sawa hili tatizo linakua temperature ikiwa chini ikipanda linaisha.
Hata 5W-40 siyo nzuri kwa gari ndogo. AJitahidi apate 5W3-20. 5W-30 au 10W 30Angalia aina ya oil unayoitumia ni nzito sana hivyo kufanya kazi hadi joto la engine liwe kubwa ndo iweze kusambaa vzr nakushauri kwa aina hiyo ya gari tumia oil 5w30/10w30 umekosa sana tumia 5w40 achana na sae40
Oil ipo sawaTazama engine oil kama imepungua.
Asante nitalifanyia kaziAngalia aina ya oil unayoitumia ni nzito sana hivyo kufanya kazi hadi joto la engine liwe kubwa ndo iweze kusambaa vzr nakushauri kwa aina hiyo ya gari tumia oil 5w30/10w30 umekosa sana tumia 5w40 achana na sae40
Umshepewa majibu sahihi kuwa ni swala la oil. Injini yako ina hydraulic valve lifters, yaani tappets. Kinachoteka ni kuwa oil inakuwa haiwezi kupenya kiasi cha kutosha ili kusukuma tappets kufungua valve; kwa hiyo injini inakuwa na misfire ndogondogo mwanzoni. Oil ikishapata joto la kutosha na viscosity yake kupungua, ndipo inapoweza kupenya vizuri kusukuma tappets na hapo ndiop unaposikia gari limeanza kuunguruma vizuri. Hiyo ikiendelea kwa muda mrefu inaweza kukuharibia injini kwa vile baadaye inaweza kuziba matundu ya lifters na kusababisha misfire kubwaKuna gari natumia Toyota Brevis cc2490 imeanza tatizo la ku plink (kutoa ka mlio fulani k,a,k,a,k,a,k,a ) ila baada ya muda ina kuwa sawa hili tatizo linakua temperature ikiwa chini ikipanda linaisha.
Asante sana shule imeniingia sawasawaUmshepewa majibu sahihi kuwa ni swala la oil. Injini yako ina hydrauli valve lifters, yaani tappets. Kinachoteka ni kuwa oil inakuwa haiwezi kupenya kiasi cha kutosha ili kusukuma tappets kufungua valve; kwa hiyo injini inakuwa na misfire ndogondogo mwanzoni. Oil ikishapata joto la kutosha na viscosity yake kupungua, ndipo inapoweza kupenya vizuri kuskuma tappetns na hapo ndiop unaposikia gari limeanza kuunguruma vizuri. Hiyo ikiendelea kwa muda mrefu inaweza kukuharibia injini kwa vile baadaye inaweza kuziba matundu ya lifters na kusababisha misfire kubwa
Inawezekana gear box imeharibika ndani; au mafuta ya gearbox yamepungua sana au oil filter ya gearbox imeziba. Angalia level ya mafuta kwenye gearbox yako kwanza kabla ya kutafuta mafundimzee baba nissan cube yangu yapata mwaka sasa inatembelea kwenye L, na sio D ,kama nikiitumia hiyo D gari haibadili gear au mwendo kwa wakati ,shida itakuwa ni nini mtaalam?
oil ya gearbox ya gari ndogo nayo ni namba90?Inawezekana gear box imeharibika ndani; au mafuta ya gearbox yamepungua sana au oil filter ya gearbox imeziba. Angalia level ya mafuta kwenye gearbox yako kwanza kabla ya kutafuta mafundi
Gearbox automatic ina oil yake maalum initwa ATF (Automatic Transmission fluid), na kuna aina nyingi sana za mafuta hayo. Kila gari ina aina yake. Ukiweka namba 90 utaua gearbox yote. Namba 90 ni kwa gearbox za stick shift na diff; usiiweke kwenye automatic transmissionoil ya gearbox ya gari ndogo nayo ni namba90?