Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Na kama mtu aliacha cho bila kutoa taarifa je?
Naye utaratibu ni huu?

Maake kuna kijana hapa mtaani aliacha kwa sababu ya ki financial
Huwa anatakiwa kulipa deni angalau asilimia 25% then anatuma maombi ya mkopo tena, kama ana sifa atapata kama kawaida. na huwa wanatumia sheria za mwaka ulioomba mkopo kwa mara ya kwanza.
mfano kama uliomba mwaka wa masomo wa 2019/2020 watatumia muongozo wa mwaka huo
ila kwa mtu aliye acha chuo anatakiwa kufatilia udahili wake upya TCU akishapata chuo anafanya maombi kama kawaidaaa
 
Kwanini bodi ya mkopo pale Deni linapobakia dogo kuliko lile la awali wao wanaendelea kukata deni la awali, mfano kila mwezi walikuwa wanakata 200,000, mwishoni imebaki 60,000, wao badala ya kukata 60,000, wanakata 200,000 eti uandike barua ya kuwadai
 
Mimi wameni kata miezi mitano lakini wamenilipa hela ya miezi minne tu. Sjui niwafuate huko huko maana inakuwa kero.
 
Kama kuna mtu ametumia index number yako kuombea chuo unafanyeje kwani kila nikiomba udsm naambiwa index inatumika na mtu mwengine
 
Naomba kuuliza.
Mtu akighairisha masomo(kupostpone) mwaka wa pili baada ya kupata boom la mwisho! Anaweza kupata mkopo anaporudi mwaka wa tatu??

Sababu za kupostpone ni matatizo ya uchumi.
Barua amepeleka kwa loan officer amekubali
Mkopo unawekwa pending, baada ya Ku-resume Unaendelea kupokea kama kawaida
 
Nina matokeo ya DDD ya Advance ya mtahiniwa binafdi 2014 je yananipeleka wapi
 
Verification namba ya birth certificate unapata baada ya muda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…