Alianzisha mmoja niulize chochote kuhusu Mkoa wa singida, nakumbuka aliitendea haki thread kuhusu mkoa huo wa singida alijibu maswali vizuri na kwa ufasaha, sasa naona watu wanaibuka tu na niulize chochote, mwisho watatuambia tuwaulize chochote kuhusu wake zao
Bar gani hapo kimara wanauza bia 2200 naona kwa mushi ni 2500. resort 2500 matungucha 2500 latemba 2500 waqt bei halani ni 2200?
Nakaribisha maswali tafadhari
mbona wachaga ni wengi huko
mnatuchosha na hizi thread za niulize chochote
Sawa mwenyekiti wa serikali za mitaa kimara.ngoja wakazi wako wake.
Wakazi tumeshafika mkuu
Haya,Ngoja niwapishe..
hahaaaa..umauliza makalio a mbuzi yako wapi wakati mkia unauona?Kwanini huko kimara kuna ujambazi sana?