Niulize chochote kuhusu eneo la Kimara!

Niulize chochote kuhusu eneo la Kimara!

una idadi rasmi ya matukio ya kijambazi yanayotokea kimara?what is your source?...au huwa unafanyaje?

mi ni mfuatiliaji mzuri wa kila kinachotokea kimara,tukio likitokea ntajua tu,takwimu sahihi sina,ila kwa mwaka huu,hakuna tukio la ujambazi,isipokuwa wizi mdogomdogo.
 
sina uhakika sana,ila nackia miaka ya zaman wakati wa barabara moja hiyo sehem ilikuwa kama sinza kwa starehe,kwa hiyo watu walikuwa wanasimama hapo kuburudika kabla ya kwenda maeneo kama mbezi ampapo palikuwa bado,hapajaendelea.
Ilikwepo STOP OVER BAR ndo Jina lilipotokea.. masahihisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom