Niulize chochote kuhusu eneo la Kimara!

Niulize chochote kuhusu eneo la Kimara!

Kesho ninakutana na jamaa yangu mmoja mchagga huko Kimara. una recomend tukae bar gani isiyo kua na wahuni au vyangudoa ?
 
Ni aina flani ya ushamba wa kuigana. Kila mtu niulize... niulize.., nyie Google??

sio ushamba wala sio google,tuna practise our right to share information as provided by Tz constitution,peace.
 
Nitajie kikosi cha kimara ranger kilichowahi kufanya vizuri kwenye soccer la kimara, mwaka wowote unaoujua wewe
 
2007,kikihusisha watu kama Dida,muscat,kilikuwa hatar kwenye ligi uwanja wa tanesco.
 
Alianzisha mmoja niulize chochote kuhusu Mkoa wa singida, nakumbuka aliitendea haki thread kuhusu mkoa huo wa singida alijibu maswali vizuri na kwa ufasaha, sasa naona watu wanaibuka tu na niulize chochote, mwisho watatuambia tuwaulize chochote kuhusu wake zao

zina faida sana hizi nyuzi,zinatupa information za kutosha sana.nasubiri kuhusu mbeya.
 
Ni kweli zinafaida lakini watuambie tuwaulize mambo ya maana sasa hadi vitongoji jamani? Nampa big up aliyesema niulize chochote kuhusu mkoa wa singida, alijibu maswali yote yanayohusu singida na wilaya zake na vitongoji vyake, huyu angekuja na niulize chochote kuhusu mkoa wa Dar es salaam ningemuona wa maana
 
Alianzisha mmoja niulize chochote kuhusu Mkoa wa singida, nakumbuka aliitendea haki thread kuhusu mkoa huo wa singida alijibu maswali vizuri na kwa ufasaha, sasa naona watu wanaibuka tu na niulize chochote, mwisho watatuambia tuwaulize chochote kuhusu wake zao
Mimi naomba uniruhusu nikuulize chochote kuhusu mume au boyfriend wako
 
Alianzisha mmoja niulize chochote kuhusu Mkoa wa singida, nakumbuka aliitendea haki thread kuhusu mkoa huo wa singida alijibu maswali vizuri na kwa ufasaha, sasa naona watu wanaibuka tu na niulize chochote, mwisho watatuambia tuwaulize chochote kuhusu wake zao
Na yule wa LINDI usimsahau alijibu maswali vizuri sana akishirikiana na wakuu wengine.

Waache watujuze, ni moja ya kufahamishana mambo ya hapa na pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom