Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha taarifa za mwanaume aliyedai kuchukuliwa sehemu zake za siri eneo la Kimara, akieleza kuwa ni uzushi unaolenga kutengeneza taharuki.
Soma pia
Soma pia
- Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za Mwanaume mmoja
- Mtu anayedaiwa akigusa nyeti zako zinapotea azua taharuki Tunduma