Niulize chochote kuhusu DUCE

Mkuu naomba kuuliza unapomaliza mwaka wa tatu DUCE, chet huwa kinaandikwa Udsm au Duce?
 
wakuu kama join instruction ya DUCE imeshatoka naomba mtujuze?
 
Mkuu duce ilianzishwa mwaka gani? na mpaka sasa imeshatoa graduates wangap?
 
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em
 
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em

Join instruction imeshatoka kiongozi...
 
nenda kwenye website hukos mkuu

mbona mim nimeenda kwenye website lakin kila nikibonyeza kwenye la undergraduate system inazingua naomba mwenye kufahanu kuhusu jinsi ya kupata hiyo
 
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em

pls we umeipata wapi mi mbona narafuta jimsi ya kuipata
 
Kuhusu kupata hostel za ndani ni kwa watakaowah au ni automatic arranged,msaada tafadhal
 
nnayo nmeiona ila cjaielewa ni ndefu sn af mbn ni copy tangu 2014 au inatumika ile ile, anaefahamu plz
 
ninavyojua duce na muce ni branches za udsm so taarifa zote muhim zinatoka main campus kwny website ya udsm, ndio maana ht selection duce muce utaipata www.udsm.ac.tz na sio duce wala muce
 
DUCE na MUCE ni branches za udsm so taarifa zote muhim zinatoka main campus kwny website ya udsm, ndio maana ht selection duce muce utaipata www.udsm.ac.tz na sio duce wala muce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…