Niulize chochote kuhusu DUCE

Mgomo.wa 2011 ?poor kijana historia inaanzia 2005,2006,2007 hiyo miaka ilikuwa na majembe kweli kweli Wapi burton.gwakisa maskin si shujaa tena sijui kashamaliza? Maana first degree kaisoma miaka 8 teh teh
 
Matukio.yakutisha duce
1.Mwanafunzi kumuua mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi(masambaz principle)
2.Kijana kufa kwa sababu ya kukuta mpenzi wake anamtu mwingine(kijana wa moro)
3.Matukio ya baadhi ya malecture kuwalazimisha watoto WA kike kutoka nap kimapenzi
4.Daruso kuwa mfukoni mwa dean
5......
 
naomba kuulza nmeckia kuna kulipia bima, hiyo bima ni ya nini? nawasilisha kwn wakuu
 
naomba kuulza nmeckia kuna kulipia bima, hiyo bima ni ya nini? nawasilisha kwn wakuu

Karibu Duce mkuu, hiyo ni kwa ajili ya bima ya afya NHIF kwa wale ambao hawajajiunga na hawana bima ya afya...just 50k per year ni kama bure coz ikitokea umeumwa ndio utaona umuhimu wake, KATI YA MAMBO MAZURI KWA DUCE HILI NADHANI NI zuri ZAIIDI.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hilo la Nne linatuumiza sana, yule mama hana hata chembe ya ubinadamu..
 
Last edited by a moderator:
Mgomo.wa 2011 ?poor kijana historia inaanzia 2005,2006,2007 hiyo miaka ilikuwa na majembe kweli kweli Wapi burton.gwakisa maskin si shujaa tena sijui kashamaliza? Maana first degree kaisoma miaka 8 teh teh

Mkuu nimetaja tu @2011 ili kumsaidia huyo jamaa ajue kazi za daruso ni pamoja kupigania maslahi ya wanafunzi wote.
 
ahsante, Kwann gharama za kuishi hostel za ndani ni Juu <110000, kulko za mbagala& mabibo<75000? naomba kufaham
 
naomba mnisaidie website ya DUCE ili niwe napitia taarfa na nijue kama joinistruction kama ipo tayar?
 
Mkuu naomba kuuliza iyo bima ya afya naweza kumkatia mtu mwingine wa karibu yangu km vile ndugu
 
Vp kuhusu michezo haswa kwa mpira wa miguu he vipaji vyetu vitakua au ndo tunakuja kuvizika kabisa?
 
ahsante, Kwann gharama za kuishi hostel za ndani ni Juu <110000, kulko za mbagala& mabibo<75000? naomba kufaham

Mbagala ni cheap coz kuja hadi chuo unatumia nauli isiyopungua 800 kwa siku.
 
Mkuu naomba kuuliza iyo bima ya afya naweza kumkatia mtu mwingine wa karibu yangu km vile ndugu

Hilo haliwezekani ndugu maana NHIF wanamkataba na chuo kwa ajili ya wanachuo tu
 
nauliza hivi eti wale wadada wanaojiuzaga boom likiisha huwa wanapatikana maeneo gani hapo chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…