Wakuu salam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.
KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE

samahan iv joining instruction inapatkana kwenye website gan?
TAREHE YA KUREPORT KAKA,ikiwezekana nitumie kwa namba hz,0675893587,0762015905
oct 31,2015
Duce ni bonge la chuo? duh
Natafuta wakukaa nae keko juu karibu na chuo chumba kipo na kina kila kitu ye atakua n kulala na kula na kusoma tu garama za chumba na umeme tutachangiana
Kodi tsh ngap?
Kuna tatizo vyuoni walimu kuwa na uhusiano wa kimapenzi, hasa wadada wazuri na hata kuvunja ndoa. Vipi hapo naweza mleta mchumba wangu akatoka salama?
Teh Teh.....Kuna tatizo vyuoni walimu kuwa na uhusiano wa kimapenzi, hasa wadada wazuri na hata kuvunja ndoa. Vipi hapo naweza mleta mchumba wangu akatoka salama?
Teh Teh.....