prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,021
- 2,280
upungufu wa manii yani kwa lugha rafikiPole, upungufu wa nguvu za kiume.

Acha kuvaa nguo za ndani za kubanaKwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.
Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.
Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.
Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Hizo sizivai mwaka wa 3 saiv mkuuAcha kuvaa nguo za ndani za kubana
PoleHizo sizivai mwaka wa 3 saiv mkuu
Asante sanaMoto kiasi unaweka kwenye bati au sinia dogo.. . Kisha weka mvunguni mwa kiti au kitanda Cha kamba.. ...kaa hapo upate lile joto kwa nusu saa kila siku...mda wa mwezi.. ..yaani usikie umoto Moto mkali kidogo..
Ni dawa kubwa Sana.. .. na hata wenye ganzi na kuumwa nyayo ..,ukiweka unyayo juu upate lile joto .. ..
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Pole sana.Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.
Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.
Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.
Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Hospitali umeenda ?Mkuu maumivu yanaanzia sehemu ya juu kidogo ya tundu la haja kubwa ambapo yanaanza kusambaa makalioni mpaka kiunoni, kisha eneo husika linakaza.
Kunywa dawa za minyoo ,Kuna mshkaji alikuwaga na kesi Kama yakoKwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.
Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.
Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.
Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Pole sana nduguKwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.
Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.
Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.
Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Nimeenda mkuu, xray hazina majibu yoyoteHospitali umeenda ?
Nashukuru mkuu nazingatia nitatumiaKunywa dawa za minyoo ,Kuna mshkaji alikuwaga na kesi Kama yako
Asante mkuuPole sana ndugu
Asante sanaPole sana.
Mzee sidhani kama wanaonishauri wanashauri wakiwa na nia mbaya ama utani, naamini kabisa ni katika kunisaidia kupata tiba, na hata kama utakua unajua tiba yoyote ukanishauri nitashukuru sanaWadau mnamshauri jamaa atafute joto kwenye makalio, wengine ajipake wese kusoftisha tako... Dah.
Pole saana mkuu,
Sio bawasir mkuu nazijua dalili zakeYaan upepo wa Bawaziri umesambaa sana, watu wengi wanahangaika na huu ugonjwa, lol.
Poleew sana.